FRANCIS MNGUMI
Member
- Jul 12, 2020
- 36
- 63
Tusubiri mida yaoWadau.Habari za Saizi !? Leo vipi kitawaka kweli ? Au ndo shwaaa 🤣..
itategemea na maelezo ya tangazo husika linataka viambatanishi gani,ila kikawaida lazima uweke cv na vyeti vyako,uviambatanishe na hiyo baruaOk Asante sana jobless mwenzangu, na ni lazima kuambatanisha Nakala ya vyeti vyako kwenye barua pamoja na CV au unapeleka barua tu
Taaluma ya computer ni practice mkuu,na ndio maana inakuwa na saili 3,unaweza piga written 97 then practical ukapata 31 😂 afu aliyepata written 50 akapata practical 90😀,siri ya ushindi ni mazoezi na si kumeza madesa tuu😂duhh hapo kama kilaza lazima uachwe kwenye mataa
Kachukuliwa database huyo, hawawezi chukua mtu aliyeishia njiani.itakua walicheki aliyefanya vizuri practical wakakuchukua hongera
Hapo si ndio wanachukuaga maswali yao magumu na kila topic pale maswali buku hapo ni noma huwez kuyamaliza, practical sikuiz wanazifanya ngumu ngumu kidogo kupunguza watuHakika mkuu,aisee source ya maswali iko vzr bila shaka utumishi lazima uwanase kimbembe practical
😂😂daaH watoto maskin hatuna chetu aiseeeePSRS walichobakiza kwao LGA &MDA
Yan I was thinking the same sjui ata unaisha ishaje aiseeeHuu mwezi mgumu sana...
Ulionekana mapema tu...pdf zimesuasua sanaYan I was thinking the same sjui ata unaisha ishaje aiseee
😂😂😂MapemaLeo ni shwaaa
imetoka kuna pdf..halmashauri zimetemaLeo ni shwaaa
Hamna kitu ni pdf la kipuuzi tu, na naona wahasibu tumeanza kutengwa🥲L
imetoka kuna pdf..halmashauri zimetema
Ok Asante sana 🙏itategemea na maelezo ya tangazo husika linataka viambatanishi gani,ila kikawaida lazima uweke cv na vyeti vyako,uviambatanishe na hiyo barua
Ila kama maelezo yanataka cv na barua tu then vyeti unapeleka wakati wa usaili napo sawa tu,
Kama hawajasema chochote ambatanisha barua,cv na vyeti vyako then peleka
Mkuu jenga tabia ya kushukuru, usipende kulalamika sana...pdf liko freshHamna kitu ni pdf la kipuuzi tu, na naona wahasibu tumeanza kutengwa🥲