Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ok Asante sana jobless mwenzangu, na ni lazima kuambatanisha Nakala ya vyeti vyako kwenye barua pamoja na CV au unapeleka barua tu
itategemea na maelezo ya tangazo husika linataka viambatanishi gani,ila kikawaida lazima uweke cv na vyeti vyako,uviambatanishe na hiyo barua
Ila kama maelezo yanataka cv na barua tu then vyeti unapeleka wakati wa usaili napo sawa tu,
Kama hawajasema chochote ambatanisha barua,cv na vyeti vyako then peleka
 
Hakika mkuu,aisee source ya maswali iko vzr bila shaka utumishi lazima uwanase kimbembe practical
Hapo si ndio wanachukuaga maswali yao magumu na kila topic pale maswali buku hapo ni noma huwez kuyamaliza, practical sikuiz wanazifanya ngumu ngumu kidogo kupunguza watu
 
PSRS walichobakiza kwao LGA &MDA
 
Attachments

  • Screenshot_20240621-155808.jpg
    Screenshot_20240621-155808.jpg
    262.9 KB · Views: 5
itategemea na maelezo ya tangazo husika linataka viambatanishi gani,ila kikawaida lazima uweke cv na vyeti vyako,uviambatanishe na hiyo barua
Ila kama maelezo yanataka cv na barua tu then vyeti unapeleka wakati wa usaili napo sawa tu,
Kama hawajasema chochote ambatanisha barua,cv na vyeti vyako then peleka
Ok Asante sana 🙏
 
Back
Top Bottom