Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Ni bora izo pdf za page 2 wasikuzanye wakitoa mpdf umeshiba.Pdf mbona hazishtui sana jmn🤣..hivi kwanini hawatoagi mpdf kama ile ya kuitwa kwenye interview,bonge dude na hawaoni aibu kutoa pdf za page 2
Kwakweli maana izi danganya toto zao zinatuumiza😃Ni bora izo pdf za page 2 wasikuzanye wakitoa mpdf umeshiba.
Daaah Mama ypo busy sana sidhani kama hii sector anaangaika nayo,ni kama haina tija sana kwake🙃Mama(Rais) vijana wako tunayopita ni Mungu tu anajua .....Bora uwape kibali Utumishi Taasisi zote zilizojitoa zirudi....Tutakuwa na faraja ndani ya nchi yetu vijana wako kuliko yanayoendelee sasa
Kunamareport humu wanamwambia ......bila kutoa tamko Yeye Utumishi hawana nguvu yoyote zaidi wanatukomoa tu jobless.....Daaah Mama ypo busy sana sidhani kama hii sector anaangaika nayo,ni kama haina tija sana kwake🙃
PinacoladeeDaaah Mama ypo busy sana sidhani kama hii sector anaangaika nayo,ni kama haina tija sana kwake[emoji854]
Nambie mkuu,kuna habare gani tupe zenyeweeeePinacoladee
Hvi zile ajira elf 44 zishaisha?😁😁Nambie mkuu,kuna habare gani tupe zenyeweeee
S I A S AHvi zile ajira elf 44 zishaisha?[emoji16][emoji16]
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu kila la kheri katika majukumu yako mapyaTumsifu Yesu Kristo. Wakuu kwa uwezo wa Kristo Yesu nashukuru nimeaga ujobless rasmi na sipo halmashauri. Nilifanya interview mwezi wa nne 2024, hadi sasa nimefanya interview jumla 6. Ila ya sita ndio nilifaulu written, nikafaulu practical na kufika oral. Cha muhimu tusali sana na tusikate tamaa. Ilifika wakati nilifunga sana ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Tutasubir sana,kwel siasa sio ya kuiaminHvi zile ajira elf 44 zishaisha?😁😁
😂Tutasubir sana,kwel siasa sio ya kuiamin