Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRA? Umeona wapi majina ya waliojiriwa?Hivi hawa walioajiriwa juzi Tra mbona hatujaona tangazo la kazi jamani, au ndio wamechukua waliokua kwenye database?
Tunaonyesha kwa vitendo...TRA? Umeona wapi majina ya waliojiriwa?
Database ya Utumishi mwaka jana 2023 walikataa wakasema wanaletewa watu waajabu mpaka wakafanikiwa kutengeneza zengwe Ili aone Mama(Rais) Utumishi hawafai na wakafanikiwa 100%...Hivi hawa walioajiriwa juzi Tra mbona hatujaona tangazo la kazi jamani, au ndio wamechukua waliokua kwenye database?
DuuDatabase ya Utumishi mwaka jana 2023 walikataa wakasema wanaletewa watu waajabu mpaka wakafanikiwa kutengeneza zengwe Ili aone Mama(Rais) Utumishi hawafai na wakafanikiwa 100%...
Juzi wao wamerudia Mambo yaleyale tena mara2 kimyakimya hata uwazi wa majina hamna...
Nchi ngumu hii....
Cha zaidi Kuangalia tu ila hawajui wanatengeneza Ukabila
HIli ni janga sijui wamepatikanaje daahTunaonyesha kwa vitendo...
Wanazingua sana hao TRA na tasisi zingine kama hiii inayo fanya ujinga katika taifa la watu wanaojitambua,Database ya Utumishi mwaka jana 2023 walikataa wakasema wanaletewa watu waajabu mpaka wakafanikiwa kutengeneza zengwe Ili aone Mama(Rais) Utumishi hawafai na wakafanikiwa 100%...
Juzi wao wamerudia Mambo yaleyale tena mara2 kimyakimya hata uwazi wa majina hamna...
Nchi ngumu hii....
Cha zaidi Kuangalia tu ila hawajui wanatengeneza Ukabila
Mambo mabaya hayajifichi hata siku moja ipo siku yanakuwa hadharani tuHIli ni janga sijui wamepatikanaje daah
TRA Wahuni sana.Database ya Utumishi mwaka jana 2023 walikataa wakasema wanaletewa watu waajabu mpaka wakafanikiwa kutengeneza zengwe Ili aone Mama(Rais) Utumishi hawafai na wakafanikiwa 100%...
Juzi wao wamerudia Mambo yaleyale tena mara2 kimyakimya hata uwazi wa majina hamna...
Nchi ngumu hii....
Cha zaidi Kuangalia tu ila hawajui wanatengeneza Ukabila
Dah unajitahidi Kuwa active kwenye huu uzi, utatoboa soon.Mmeamkaje jobless?
🤭Tukae mkao wa kusubiri,
Hehehehee muda wao bado
Never give up man, wakati wa Mungu ni wakati sahihi stay cool.Mimi nasubiri ufike wa nane database yangu I Expired Niache kuwaza pdf
Mwezi mgumu huu...Huu mwezi unaishaje ishaje bila mapdf mazito mazito😃
Mkuuu tunapunguza stress uku sometimes,na kusogeza siku aiseee maana unaweza kutoroka adi maisha yako,ukajihisi una mkosi atleast ukiwa umu unapata hope and unajua ur not alone in this journey. The struggle is real 😫Dah unajitahidi Kuwa active kwenye huu uzi, utatoboa soon.