Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Ila jamani Halmashauri Hapana .Kuna watu humu mnalia na hizi kazi(Halmashauri) na kuna wengine wanazikimbia baada ya kupangiwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jamani Halmashauri Hapana .Kuna watu humu mnalia na hizi kazi(Halmashauri) na kuna wengine wanazikimbia baada ya kupangiwa!
Popote kambi ni nakutaka uko kwa udi na uvumba any where in this country, muhimu check number.Ila jamani Halmashauri Hapana .
Halmashauri Hapana jamani.Popote kambi ni nakutaka uko kwa udi na uvumba any where in this country, muhimu check number.
Exactly KabisaPopote kambi ni nakutaka uko kwa udi na uvumba any where in this country, muhimu check number.
Kabisa'Passed like a shadow' tusubiri kesho
Tupe experience halmashauri kuna nnHalmashauri Hapana jamani.
Tupe experience halmashauri kuna nn
Mimi Niko Halmashauri mkataba hela ya mshahara ndogo,Miungu watu ,njaa sana huku hata boss wako anakukopa.Tupe experience halmashauri kuna nn
Sasa hapa nimeogopa aseeMimi Niko Halmashauri mkataba hela ya mshahara ndogo,Miungu watu ,njaa sana huku hata boss wako anakukopa.
Usijaribu mimi nikionaga majina nikiona mtu kapangiwa Halmashauri nasema Mungu nakuomba nisipate HalmashauriSasa hapa nimeogopa asee
Duu kweli halmashauri pakavu bora taasisi zetu hiziHalmashauri hakuna anayechukua million moja labda DED,MD.
No extra duty.
No allowance.
No semina.
No safari.
Mwendo wa Take home.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi Niko Halmashauri mkataba hela ya mshahara ndogo,Miungu watu ,njaa sana huku hata boss wako anakukopa.
Kakaaa,umeulaa😃 Jobless ndo tunazid kusugua gagaDuu kweli halmashauri pakavu bora taasisi zetu hizi
Duh ni noma mzee.Halmashauri hakuna anayechukua million moja labda DED,MD.
No extra duty.
No allowance.
No semina.
No safari.
Mwendo wa Take home.
Maana ake unabid upambane kwa namna nyingine inayowezekana kuongezea vyanzo vya pesa ..maana mshahara kama mshahara hutoboi nao aisee..Halmashauri hakuna anayechukua million moja labda DED,MD.
No extra duty.
No allowance.
No semina.
No safari.
Mwendo wa Take home.
Wewe Bwana hatari sana ila cha msingi upate kwanza namba hayo mengine yatafata BaadayeHalmashauri hakuna anayechukua million moja labda DED,MD.
No extra duty.
No allowance.
No semina.
No safari.
Mwendo wa Take home.
Kabisa nasikia halmashauri za town kama za Dar ziko vzr posho wanapata ila halmashauri nyingi ni pagumu.Maana ake unabid upambane kwa namna nyingine inayowezekana kuongezea vyanzo vya pesa ..maana mshahara kama mshahara hutoboi nao aisee..
Swali; Japo nasikia Kuna halmashauri nyingine zipo vzr tu ..? Au ni maneno ?