Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Halmashauri hakuna anayechukua million moja labda DED,MD.

No extra duty.
No allowance.
No semina.
No safari.

Mwendo wa Take home.
Maana ake unabid upambane kwa namna nyingine inayowezekana kuongezea vyanzo vya pesa ..maana mshahara kama mshahara hutoboi nao aisee..

Swali; Japo nasikia Kuna halmashauri nyingine zipo vzr tu ..? Au ni maneno ?
 
Kabisa nasikia halmashauri za town kama za Dar ziko vzr posho wanapata ila halmashauri nyingi ni pagumu.
 
Back
Top Bottom