Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Duh, Sasa ukishaingia database si lolote linaweza kutokeaHalmashauri hakuna anayechukua million moja labda DED,MD.
No extra duty.
No allowance.
No semina.
No safari.
Mwendo wa Take home.
Halmashauri anayefaidi ni mkuu wa kitengo.Maana ake unabid upambane kwa namna nyingine inayowezekana kuongezea vyanzo vya pesa ..maana mshahara kama mshahara hutoboi nao aisee..
Swali; Japo nasikia Kuna halmashauri nyingine zipo vzr tu ..? Au ni maneno ?
Duh sio poa aiseee ..Mimi niliyesoma kilimo inabidi nipate mahala ambapo Pana fursa nzuri ya kufanya uwekezaji wa kilimo Ili kujikwamua kwa namna nyingine . Kama unapata mda wa kufanya mishe zako ni kheri kujikita kwenye shughuli zingine binafsi huku ukitekeleza majukumu ya Serikali..Halmashauri anayefaidi ni mkuu wa kitengo.
Mfano safari na semina nyingi anaenda yeye au senior mpaka itokee wewe unaenda labda safari haina hela au wote wana emergency.
Halmashauri za jiji zina mapato makubwa so kuna mianya mingi ya upigaji na viposho posho japo havilipwi kwa wakati ila halmashauri za vijiji.
Lazima ukubali kuwa mkulima au mfugaji na utumie muda mwingi mtaanu
mimi tangu mwezi wa 2 nilipata kwenye taasisi ya elimuKakaaa,umeulaa😃 Jobless ndo tunazid kusugua gaga
Mkuu ushakua mzoefu saivi..hakuna changamoto?wafanyakazi wenzio wanakupa ushirikiano vzur?mimi tangu mwezi wa 2 nilipata kwenye taasisi ya elimu
kila kitu kipo sawa, ushirikiano ni wakutosha kabisaMkuu ushakua mzoefu saivi..hakuna changamoto?wafanyakazi wenzio wanakupa ushirikiano vzur?
kwakweli wafanyakazi wenzangu wananipa ushauri mzuri tu 🤣 🤣Mkuu ushakua mzoefu saivi..hakuna changamoto?wafanyakazi wenzio wanakupa ushirikiano vzur?
Ushaanza kujitabiria mema😃kwakweli wafanyakazi wenzangu wananipa ushauri mzuri tu 🤣 🤣
Kweli CaptainKikubwa mwisho wa mwezi unaingiza uhakika check no Ipo ata iwe kwenye kata au kijiji vingine ni kujiongeza kulingana na fursa zilizopo uko naamini kila mahali kuna fursa zake ishu nikianzio tu
😂😂 Karibu Mpimbwe DC.Halmashauri hakuna anayechukua million moja labda DED,MD.
No extra duty.
No allowance.
No semina.
No safari.
Mwendo wa Take home.
60 kwa walio na mihuriWale wa degree wa sheria nafasi 60 si haba 🔥
🤣🤣🤣🤣🤣kwakweli wafanyakazi wenzangu wananipa ushauri mzuri tu 🤣 🤣
😆😆dawa inatuiingia kweli,vijana wa tz tumepoa sanaBOT wametangaza nafasi (nawachangamsha tu)
Jobless Revolutionary Party...😆😆dawa inatuiingia kweli,vijana wa tz tumepoa sana