Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Katika nchi ambayo freedom of speech ni kujitaftia shida,haifai ndg yang😂Jobless Revolutionary Party...
Tuanzishe hiyo labda tutasikilizwa
Kuna kaubarid flani ivi nakafeel kama kitawaka😁😁😆,aloooo nimekakumbuk kale kaubarid cha dodoma kwa tusiozoea hali ya hewa ya dom mpk nikawa natetema nikahisi adi kwny oral nitatetema vile🤣🤣🤣..Leo vipi wakuu
aKuna kaubarid flani ivi nakafeel kama kitawaka😁😁😆,aloooo nimekakumbuk kale kaubarid cha dodoma kwa tusiozoea hali ya hewa ya dom mpk nikawa natetema nikahisi adi kwny oral nitatetema vile🤣🤣🤣..
Daaah kwel bhana,mbwembwe nyingi tuWaachie mkeka tupunguze stress ...
a
Hongera mkuu wa kupita oral, izo nafasi zimekaa kimichongo sana ata written majibu hawakutoa umepata marks ngap na wametuma kwa text message na wamesimamia wenyewe…yani taasisi kufanya saili wenyewe ni bonge la utapeliNan aliwai kufanya Oral interview ya Tanzania Commercial Bank Position ya Relationship Officer majibu huwa wanatoa kwa mda gan?
hawa utumishi sio mchezo lazima watu wawe machizi mwaka huu..Shwaaaaaa
Acha tu mzee...miezi inasonga tu badae wanatuambia database ime expirehawa utumishi sio mchezo lazima watu wawe machizi mwaka huu..
Baba yanatunyoshaaahawa utumishi sio mchezo lazima watu wawe machizi mwaka huu..
Si ndicho yanachotaka😀Acha tu mzee...miezi inasonga tu badae wanatuambia database ime expire
🤣🤣🤣mmmh kazi ipo na msukuma wa watuAu shida ni katibu wa psrs?
Sijui anakwama wap🤣🤣🤣mmmh kazi ipo na msukuma wa watu
Wamechoma mpaka ndege ya serikali,famchezo nnVijana wa Kenya leo wamepiga lunch executive ya bunge...hehehe