Na hiki kigugumizi 😂 pale kwenye oral nadhan nilipata 5%😂tatizo marks za oral ni siri yawesekana ulipata 25% na ata wenzako hamkufika 50% endelea kuomba tena na udhuria usaili mkuu
Nafasi yako yaja,kuna mahali pazuri zaidi mungu kakuandalia
Ww c mtu wa umeme, haya tujiandae kwenda Dodoma kwenye interview 😂kama ndo ivo basi we apply tena tu kama inawezekana hiyo ndio unatoka sasa..
mmhh itakua mlikandwa 🤣 🤣Na hiki kigugumizi 😂 pale kwenye oral nadhan nilipata 5%
Ngoja nijaribu tena.
mie nilifanyaga ile ya trc telecommunication nilijibugi swali moja tu naona wameitangaza tena siendi naona watanikanda tuWw c mtu wa umeme, haya tujiandae kwenda Dodoma kwenye interview 😂
Badili upepo twende h ya TBCmie nilifanyaga ile ya trc telecommunication nilijibugi swali moja tu naona wameitangaza tena siendi naona watanikanda tu
Dah wee acha tuu, mm nna kigugumizi bc n majanga ht nikiongea unaweza kudhani sina uhakika na ninachokiongea kumbe ndivyo nilivyo.mmhh itakua mlikandwa 🤣 🤣
Kesho tukikosa PDF tukutane Tar 15/7.halafu ni saa 12
sasa hivi nimeamua kutulia kwanza maana pesa niliyotumia kwenye haya mainterview ningekua na subaru au teza sasa hivi..Badili upepo twende h ya TBC
Ungekuwa mfanyabiashara mkubwa kariakoo😀sasa hivi nimeamua kutulia kwanza maana pesa niliyotumia kwenye haya mainterview ningekua na subaru au teza sasa hivi..
kutoka halmashauri kwenda Taasisi tamu...Kesho tukikosa PDF tukutane Tar 15/7.
Utumishi ya mwaka 2023 ilikuwa moto pdf kama zote miaka hiyo.
Nashindwa kuelewa
Mwaka huu Februari nilifanya interview ya TBC ya photojournalist nikafika mpaka oral ila kwenye pdf nikachinjwa.
Leo wametoa kazi afu kuna mahali nafit kama ilivyo mara ya kwanza kwenye interview ya photojournalist na qualifications ni zile zile ambazo nilifanyia interview.
Kwahy inamaana kuwa nilifeli oral?
Sawa kwahy inamaana wngn wote tulifeli hvy hakuna aliyekuwa kwenye kanzidata ili apangiwe kwenye hii kazi iliyotoka leo?nyie mlifli wotw
Ili swala la marks za oral kutooneshwa aisee ni changamoto sana,labda wangekua wanaweka assessment yote kama kuna vitu vya ziada wanaangalia maana kutoonesha apa napo pengine kuna michezo inachezeka na hatujui😀...wanajua wakionesha marks za oral complains zitakua nying😂tatizo marks za oral ni siri yawesekana ulipata 25% na ata wenzako hamkufika 50% endelea kuomba tena na udhuria usaili mkuu
Nafasi yako yaja,kuna mahali pazuri zaidi mungu kakuandalia
Yah PDF LEO UHAKIKA WAKUULeo zinatoka pdf mbili....mwisho wa mwez huu
Atoe mapema sasa na yy...sio jiooonYah PDF LEO UHAKIKA WAKUU
si ndoapo na mie ningekua kwenye mgomo sasa hivi 🤣 🤣Ungekuwa mfanyabiashara mkubwa kariakoo😀
kuficha marks ni wazi kuna upuuzi unaendelea baada ya oral.yaani hata ukijiona oral umejibu maswali yote vizuri usitegemee kupata kazi asilimia 100..Ili swala la marks za oral kutooneshwa aisee ni changamoto sana,labda wangekua wanaweka assessment yote kama kuna vitu vya ziada wanaangalia maana kutoonesha apa napo pengine kuna michezo inachezeka na hatujui😀...wanajua wakionesha marks za oral complains zitakua nying
Kuna oral walifanyaga watu 160 out of nafasi 10 nikahis kabisa wameita watu wengi oral ili watu wao nao waonekane wamefika oral waje wawapachike kupitia database maana ni Siri coz haileti logic nafas kumi unapeleka oral watu 160.kuficha marks ni wazi kuna upuuzi unaendelea baada ya oral.yaani hata ukijiona oral umejibu maswali yote vizuri usitegemee kupata kazi asilimia 100..
baada ya oral hua wanakaa vikao halafu wanaanza kujadili tena yaani mpaka jina lako lipitishwe kwenye pdf si mchezoKuna oral walifanyaga watu 160 out of nafasi 10 nikahis kabisa wameita watu wengi oral ili watu wao nao waonekane wamefika oral waje wawapachike kupitia database maana ni Siri coz haileti logic nafas kumi unapeleka oral watu 160.
Lakini yote kwa yote najikuta tu Nina Imani kubwa kwa PSRS angalau sijui wameniloga.Ipo siku nasi tutalamba asali tuzidi kuhudhuria saili
Ndo uite watu 169 kweli oral kwenye nafasi 10.Position yenyewe tangu January wameitwa kazini watu watano ukijumlisha na database.Ok bs tu assume Watu 100 wamefeli hiyo data base ya watu 69 unamaliza lini km Kila baada ya miezi miwili unaita kazin mtu mmoja kweny hiyo kadabaada ya oral hua wanakaa vikao halafu wanaanza kujadili tena yaani mpaka jina lako lipitishwe kwenye pdf si mchezo