Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂tatizo marks za oral ni siri yawesekana ulipata 25% na ata wenzako hamkufika 50% endelea kuomba tena na udhuria usaili mkuu
Nafasi yako yaja,kuna mahali pazuri zaidi mungu kakuandalia
Na hiki kigugumizi 😂 pale kwenye oral nadhan nilipata 5%
Ngoja nijaribu tena.
 
Nashindwa kuelewa

Mwaka huu Februari nilifanya interview ya TBC ya photojournalist nikafika mpaka oral ila kwenye pdf nikachinjwa.

Leo wametoa kazi afu kuna mahali nafit kama ilivyo mara ya kwanza kwenye interview ya photojournalist na qualifications ni zile zile ambazo nilifanyia interview.

Kwahy inamaana kuwa nilifeli oral?
Sawa kwahy inamaana wngn wote tulifeli hvy hakuna aliyekuwa kwenye kanzidata ili apangiwe kwenye hii kazi iliyotoka leo?nyie mlifli wotw
 
😂tatizo marks za oral ni siri yawesekana ulipata 25% na ata wenzako hamkufika 50% endelea kuomba tena na udhuria usaili mkuu
Nafasi yako yaja,kuna mahali pazuri zaidi mungu kakuandalia
Ili swala la marks za oral kutooneshwa aisee ni changamoto sana,labda wangekua wanaweka assessment yote kama kuna vitu vya ziada wanaangalia maana kutoonesha apa napo pengine kuna michezo inachezeka na hatujui😀...wanajua wakionesha marks za oral complains zitakua nying
 
kuficha marks ni wazi kuna upuuzi unaendelea baada ya oral.yaani hata ukijiona oral umejibu maswali yote vizuri usitegemee kupata kazi asilimia 100..
 
Kuna oral walifanyaga watu 160 out of nafasi 10 nikahis kabisa wameita watu wengi oral ili watu wao nao waonekane wamefika oral waje wawapachike kupitia database maana ni Siri coz haileti logic nafas kumi unapeleka oral watu 160.
Lakini yote kwa yote najikuta tu Nina Imani kubwa kwa PSRS angalau sijui wameniloga.Ipo siku nasi tutalamba asali tuzidi kuhudhuria saili
 
baada ya oral hua wanakaa vikao halafu wanaanza kujadili tena yaani mpaka jina lako lipitishwe kwenye pdf si mchezo
 
Ndo uite watu 169 kweli oral kwenye nafasi 10.Position yenyewe tangu January wameitwa kazini watu watano ukijumlisha na database.Ok bs tu assume Watu 100 wamefeli hiyo data base ya watu 69 unamaliza lini km Kila baada ya miezi miwili unaita kazin mtu mmoja kweny hiyo kada
 
Back
Top Bottom