El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
hiyo ulipitia utumishi..?Ushuhuda nimemaliza miak mitatu nyuma ila God blesss nimepata mwak huu kazi azama pipelin mungu ni mwem
upuuzi wanaofanya utumishi wanajua wenyewe tue wapole tu...Ndo uite watu 169 kweli oral kwenye nafasi 10.Position yenyewe tangu January wameitwa kazini watu watano ukijumlisha na database.Ok bs tu assume Watu 100 wamefeli hiyo data base ya watu 69 unamaliza lini km Kila baada ya miezi miwili unaita kazin mtu mmoja kweny hiyo kada
Daaah kumbe kuna kamati ya roho mbaya😅baada ya oral hua wanakaa vikao halafu wanaanza kujadili tena yaani mpaka jina lako lipitishwe kwenye pdf si mchezo
Daaah kunakua na ishu gani ya kujadil apo,au ndo wanafanya assessment ya jina🤣baada ya oral hua wanakaa vikao halafu wanaanza kujadili tena yaani mpaka jina lako lipitishwe kwenye pdf si mchezo
wanajadili mambo mengi tu yaani hata komwe linaweza kukufanya ukaachwa akachukuliwa mwingine 🤣 🤣Daaah kunakua na ishu gani ya kujadil apo,au ndo wanafanya assessment ya jina🤣
Komwe tenawanajadili mambo mengi tu yaani hata komwe linaweza kukufanya ukaachwa akachukuliwa mwingine 🤣 🤣
ndo ivo ndugu yangu yaani wanajadili upuuz tu.komwe linaweza kukosesha asali kama utani vile mtu unajiuliza mbona nilijibu vizuri tuu.kumbe wameangalia profile picture yako..Komwe tena
Laaa haulaaa😂😂
Daaaah kumbe ili komwe langu ndio tatizowanajadili mambo mengi tu yaani hata komwe linaweza kukufanya ukaachwa akachukuliwa mwingine 🤣 🤣
hamna wanaangalia mambo mengi tu.ila kama unalo kubwa sana weka passport umevaa lemba.. 🤣 🤣Daaaah kumbe ili komwe langu ndio tatizo
labda pendekezo la muajiri kuwa anataka kuona mchakato na awepo katika kuchagua.Nashindwa kuelewa
Mwaka huu Februari nilifanya interview ya TBC ya photojournalist nikafika mpaka oral ila kwenye pdf nikachinjwa.
Leo wametoa kazi afu kuna mahali nafit kama ilivyo mara ya kwanza kwenye interview ya photojournalist na qualifications ni zile zile ambazo nilifanyia interview.
Kwahy inamaana kuwa nilifeli oral?
Sawa kwahy inamaana wngn wote tulifeli hvy hakuna aliyekuwa kwenye kanzidata ili apangiwe kwenye hii kazi iliyotoka leo?
Hawa zaidi ni per diem tu wanachojadili na kuangalia nn...hamna wanaangalia mambo mengi tu.ila kama unalo kubwa sana weka passport umevaa lemba.. 🤣 🤣
Muajiri Mkuu katoa kibali cha kuajiri ww nani ubishe unataka kuona wakati kunachombo kinasimamia swala hilo na kimepitishwa na muhimili mkuu....labda pendekezo la muajiri kuwa anataka kuona mchakato na awepo katika kuchagua.
mi ninavyojua kwenye panel ya interview pale lazima na mtu wa taasisi anakuwepolabda pendekezo la muajiri kuwa anataka kuona mchakato na awepo katika kuchagua.
hizo ndo interview sasa ninazozitakaga..Apan alfu tazama pipelin nimepata waliita oral kwa cm
sasa hivi si unaona hata tangazo la halmashauri hamna.yatakua yameshakimbilia sabasabaHawa zaidi ni per diem tu wanachojadili na kuangalia nn...
Taasisi wanapitisha watoto wao hata paper hashiki leo hii PSRS wamepewa dhamani ya kusimamia haki Michakato yote wanakujadili nn!!!
Mungu atutetee tuwe na mioyo ya uvumilivu maana tumezaliwa Tanzania kwa makusudio yake......
Daaah mkuu I'm speechlessssssssssMuajiri Mkuu katoa kibali cha kuajiri ww nani ubishe unataka kuona wakati kunachombo kinasimamia swala hilo na kimepitishwa na muhimili mkuu....
Hawa Watu kunavitu wamepishana(siri) kati ya Taasisi +Psrs ndo maana changamoto hizo zinatokea ucheleweshwaji(placement)....
Ila yote wanatutesa jobless kwa kuwa watoto wao hawapo
Nakumbuka panel yetu alikuwep mmoja mwnye nafasi kama tuliyoomba kutoka Tasaf..tena wakat tumeitwa wte pale wanajintroduce na kutupa moyo yeye maneno yake nakumbuka yalikua mawili yamestick mpaka sasa kichwani mwangu alisema la Kwanza tumtangulize Mungu na la pili alisema Bahati akasistiza kama ni bahati yako utaipata tu apa mpaka kichwa kilipata moto na kibarid kile🙃mi ninavyojua kwenye panel ya interview pale lazima na mtu wa taasisi anakuwepo
si unaona sasa unaweza ukajibu vizuri kuliko wote kwenye oral ukatokea upuuzi tu watu wakamplace mtu wanaomjua wao..Nakumbuka panel yetu alikuwep mmoja mwnye nafasi kama tuliyoomba kutoka Tasaf..tena wakat tumeitwa wte pale wanajintroduce na kutupa moyo yeye maneno yake nakumbuka yalikua mawili yamestick mpaka sasa kichwani mwangu alisema la Kwanza tumtangulize Mungu na la pili alisema Bahati akasistiza kama ni bahati yako utaipata tu apa mpaka kichwa kilipata moto na kibarid kile🙃