Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndo uite watu 169 kweli oral kwenye nafasi 10.Position yenyewe tangu January wameitwa kazini watu watano ukijumlisha na database.Ok bs tu assume Watu 100 wamefeli hiyo data base ya watu 69 unamaliza lini km Kila baada ya miezi miwili unaita kazin mtu mmoja kweny hiyo kada
upuuzi wanaofanya utumishi wanajua wenyewe tue wapole tu...
 
Nashindwa kuelewa

Mwaka huu Februari nilifanya interview ya TBC ya photojournalist nikafika mpaka oral ila kwenye pdf nikachinjwa.

Leo wametoa kazi afu kuna mahali nafit kama ilivyo mara ya kwanza kwenye interview ya photojournalist na qualifications ni zile zile ambazo nilifanyia interview.

Kwahy inamaana kuwa nilifeli oral?
Sawa kwahy inamaana wngn wote tulifeli hvy hakuna aliyekuwa kwenye kanzidata ili apangiwe kwenye hii kazi iliyotoka leo?
labda pendekezo la muajiri kuwa anataka kuona mchakato na awepo katika kuchagua.
 
hamna wanaangalia mambo mengi tu.ila kama unalo kubwa sana weka passport umevaa lemba.. 🤣 🤣
Hawa zaidi ni per diem tu wanachojadili na kuangalia nn...
Taasisi wanapitisha watoto wao hata paper hashiki leo hii PSRS wamepewa dhamani ya kusimamia haki Michakato yote wanakujadili nn!!!
Mungu atutetee tuwe na mioyo ya uvumilivu maana tumezaliwa Tanzania kwa makusudio yake......
 
labda pendekezo la muajiri kuwa anataka kuona mchakato na awepo katika kuchagua.
Muajiri Mkuu katoa kibali cha kuajiri ww nani ubishe unataka kuona wakati kunachombo kinasimamia swala hilo na kimepitishwa na muhimili mkuu....
Hawa Watu kunavitu wamepishana(siri) kati ya Taasisi +Psrs ndo maana changamoto hizo zinatokea ucheleweshwaji(placement)....
Ila yote wanatutesa jobless kwa kuwa watoto wao hawapo
 
Hawa zaidi ni per diem tu wanachojadili na kuangalia nn...
Taasisi wanapitisha watoto wao hata paper hashiki leo hii PSRS wamepewa dhamani ya kusimamia haki Michakato yote wanakujadili nn!!!
Mungu atutetee tuwe na mioyo ya uvumilivu maana tumezaliwa Tanzania kwa makusudio yake......
sasa hivi si unaona hata tangazo la halmashauri hamna.yatakua yameshakimbilia sabasaba
 
Muajiri Mkuu katoa kibali cha kuajiri ww nani ubishe unataka kuona wakati kunachombo kinasimamia swala hilo na kimepitishwa na muhimili mkuu....
Hawa Watu kunavitu wamepishana(siri) kati ya Taasisi +Psrs ndo maana changamoto hizo zinatokea ucheleweshwaji(placement)....
Ila yote wanatutesa jobless kwa kuwa watoto wao hawapo
Daaah mkuu I'm speechlessssssssss
 
mi ninavyojua kwenye panel ya interview pale lazima na mtu wa taasisi anakuwepo
Nakumbuka panel yetu alikuwep mmoja mwnye nafasi kama tuliyoomba kutoka Tasaf..tena wakat tumeitwa wte pale wanajintroduce na kutupa moyo yeye maneno yake nakumbuka yalikua mawili yamestick mpaka sasa kichwani mwangu alisema la Kwanza tumtangulize Mungu na la pili alisema Bahati akasistiza kama ni bahati yako utaipata tu apa mpaka kichwa kilipata moto na kibarid kile🙃
 
si unaona sasa unaweza ukajibu vizuri kuliko wote kwenye oral ukatokea upuuzi tu watu wakamplace mtu wanaomjua wao..
 
Back
Top Bottom