Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

BABA KAnitUMA OFISINI KWAKO WEWE HR WA TRA........................DAHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH ASEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE NGOJA TUJIPANGE NA MTAA TUUU MAANA HAMNA NAMNA
 
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Kuna pdf nimeiweka inaeleza kila kitu mkuu
 
Tunaandaa suti za kufatia barua za placement maana mwezi ujao asali zitakuwa kama zote😀 ndo miezi km hii kina senior Mfwende na wadau kibao walilamba Asal mwaka jana
utaandaa suti ya kuchukulia barua mwishowe uje uzikiwe nayo 🤣 🤣
 
Nayo ajira si moja ya agenda yao kuelekea huko kwenye chaguzi....
Ccm hawana muda huo kwa sasa.

Kama wanataka Dr bigwa akajitolee ndo unategemea iwe agenda.

Leo hii kuna upungufu wa asilimia 50.1 % ya watumishi wa afya nchini.
 
Kwema wakuu,hivi kwenye status ikisoma selected for oral na hapo umeshapiga oral nin maana yake?na pdf imeshatoka kama miez miwili hv,hapo inakuwaje wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…