Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

yaani sekunde tu halmashauri wameshachafua ubao. 🤣 🤣 anyway mpaka sasa utumishi hawana interview kwa sasa coz zinafanyika halmashauri
 
Kuelekezwa jinsi ya kujiunga ajira portal na changamoto nyingine km unazo watazitatua..mm nitaend kuuliza kuhusu placement na nitawarecord😂
Mmh, mimi nahisi hawa wanalipwa kwa siri na kampuni za internet, sio kwa kutumalizia mabando huku😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…