Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Usjaribu ku kufanya kazi Halmashauri.
Kweli mkuu mimi nilianza na TARURA mwaka mmoja, 2019 na 2020 hadi sasa niko halmashauri a.k.a LGA, japo namalizia mwezi huu niende lasimi TRC kuanza kazi ila asee wafanyakazi 90% LGA wengi wana maisha magumu sana,wengi wameathirika na mikopo ya riba,yaani kwa sehemu nilipo sijaona mfanyakazi wa LGA mwenye networth hata ya milioni 200, including wakuu wa vitengo.

ukija huku LGA asee kuwa makini na mshahara wako, hawa watu wa kukopesha wana fanya maisha kuwa magumu sana, hakika nimejifunza kupitia makosa ya wafanyakazi wa LGA naamini nitakuwa vyema asee, ila wengi wana hali mbaya, take home za slary zao zina hali mbaya hana tofauti na mlinzi.
 
Kwanii TARURA ni LGA mkuu
 
ila hawa psrs, wamefanya nikawa adicted na portal yao yaani nilikuwa saa moja asubhi naangalia,mchana naangalia, jioni naangalia, usiku saa mbili nangali, saa tano usiku before kulala naangalia tena. nikikosa bando nakuwa kama chizi.
ila now asee kila nikitaka kucheck portal napata usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…