Nni tatizoUsjaribu ku kufanya kazi Halmashauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nni tatizoUsjaribu ku kufanya kazi Halmashauri.
Kuna watu wanamaisha mazuri sana Halmashauri kuliko huko mnapotamani kwenda.Usjaribu ku kufanya kazi Halmashauri.
Umerudi hewani nakukubali kinyama endelea kupasua mioyo ya watu umu adi wakubali hii ndo ku work under pressure.kuna pdf uko
umerudi sio...bas watatoa pdf...wawashie vimulimuli vyako vilekuna pdf uko
Hujasahau tukuna pdf uko
Kweli mkuu mimi nilianza na TARURA mwaka mmoja, 2019 na 2020 hadi sasa niko halmashauri a.k.a LGA, japo namalizia mwezi huu niende lasimi TRC kuanza kazi ila asee wafanyakazi 90% LGA wengi wana maisha magumu sana,wengi wameathirika na mikopo ya riba,yaani kwa sehemu nilipo sijaona mfanyakazi wa LGA mwenye networth hata ya milioni 200, including wakuu wa vitengo.Usjaribu ku kufanya kazi Halmashauri.
Hao huwa hawachelewi...wamechafua ubaohatimae halmashauri wamefanikiwa kujaza ubao..
Nilidhan ina mb zake za kutoshakweli tpain mchawi kuna pdf 🤣 🤣
Kwanii TARURA ni LGA mkuuKweli mkuu mimi nilianza na TARURA mwaka mmoja, 2019 na 2020 hadi sasa niko halmashauri a.k.a LGA, japo namalizia mwezi huu niende lasimi TRC kuanza kazi ila asee wafanyakazi 90% LGA wengi wana maisha magumu sana,wengi wameathirika na mikopo ya riba,yaani kwa sehemu nilipo sijaona mfanyakazi wa LGA mwenye networth hata ya milioni 200, including wakuu wa vitengo.
ukija huku LGA asee kuwa makini na mshahara wako, hawa watu wa kukopesha wana fanya maisha kuwa magumu sana, hakika nimejifunza kupitia makosa ya wafanyakazi wa LGA naamini nitakuwa vyema asee, ila wengi wana hali mbaya, take home za slary zao zina hali mbaya hana tofauti na mlinzi.
nasema nilianza na TARURA, now niko LGA halmashauri since 2020Kwanii TARURA ni LGA mkuu
Halmashauri kunatisha jamaninasema nilianza na TARURA, now niko LGA halmashauri since 2020
Ukute ni utumishi.kweli tpain mchawi kuna pdf [emoji1787] [emoji1787]
Pdf ya halmashauri inatishaNilidhan ina mb zake za kutosha
Mnasema nilianza na TARURA, now niko LGA halmashauri since 2020