Kaka Wewe acha tu jamaa alikuwa km kapararaiz vile kwanza genge lenyewe sasa lilikuwa ukiliona unagundua jobless tunapitia mengi saivi kashasahau anakula cake ya taifa tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka kuuza genge hadi kulamba asali, jobless tunapitia vipindi vigumu sana
Kapewa kura ya ndioUshapata[emoji3581]
Inaandika SELECTED FOR basiSelected for:null au inakuaje Yani?
ππππKwahiyo iliyoandika selected afu chini kuna time table tumekandwa au?Inaandika SELECTED FOR basi
Ila huyu jamaa king'ang'anizi sana wew ushapigwa chin relax joblessππππKwahiyo iliyoandika selected afu chini kuna time table tumekandwa au?
ππππHahhhh ushaanza kunipa presha tenaIla huyu jamaa king'ang'anizi sana wew ushapigwa chin relax jobless
sasa wewe ndo umekuja na majibu yakueleweka tukutane kaziniHili la Shortlisted na SeleΓ§ted for nimejaribu ulizia ulizia ipo hivi
Shortlisted: Umeorodheshwa either katika kazi husika au taasisi uliyofanya usaili mawili kupata kama marks zako zipo juu au kupata katika taasisi nyingine inayolingana na nafasi ya kazi uliyofanyia usaili wa oral
Selected for: Umechaguliwa na umehusika katika mchakato wa ajira hadi mwisho hapa sasa huenda pdf ya placement ikatoka kulingana na uharaka wa taasisi na hii hubadilika pia ,,,na kama umekosa pia hubaki shortlisted katika kanzi Data
Ukiona shortlisted jua mchakato umekamilika 100%
Ukiona ipo selected for mchakato unafanyiwa kazi pia unauwezekano wa kupata placement ikiwa hivyo hivyo
Umemuelewa vzur au umekurupuka kijana wangusasa wewe ndo umekuja na majibu yakueleweka tukutane kazini
Na unaweza kukusa kabisa kulingana na marks zako katika oral uliyofanyasasa wewe ndo umekuja na majibu yakueleweka tukutane kazini
ππππAsa yupi atakekosa hapo ?Na unaweza kukusa kabisa kulingana na marks zako katika oral uliyofanya
πUmemuelewa vzur au umekurupuka kijana wangu
Hujaelewa bado una wenge soma tena vzurπππHahhhhh nimemuelewa
π
Ikiandika SELECTED FOR juu afu chini namba ya mtihani ile na timetable..umepata kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo iliyoandika selected afu chini kuna time table tumekandwa au?
We jamaa π€£π€£π€£π€£π€£ππππKwahiyo iliyoandika selected afu chini kuna time table tumekandwa au?
ππππMaana sielewi elewi hapa hahhhhWe jamaa π€£π€£π€£π€£π€£
Sawa sawa ngoja tusubiri pdf hizi status tutakufa bureππIkiandika SELECTED FOR juu afu chini namba ya mtihani ile na timetable..umepata kazi
πππππHahhhh nimerudia kusoma naona sijaelewa vizuriHujaelewa bado una wenge soma tena vzur
Kuna mwamba wamba kapata za TRA kanitumia status ilivokua kwenye aIkiandika SELECTED FOR juu afu chini namba ya mtihani ile na timetable..umepata kazi