Kesho ndio hatoi kabisaaMsenge tu.
Wiki ishaisha tusubiri kesho.
Zamani pdf muda wowote
Weekend hatoagi.Kesho ndio hatoi kabisaa
Hapo ndo kazi na kuajiri kivyao unakuta nafas zinabaki halmashauri.UBAYA NI KWAMBA TAASISI KWA SASA ZINAPACHIKA WATU WAO WALIOTOKA LOCAL GOVERNMENT.
Ndio msukule wa uzi wetu 😂Huyo ndo tahira wetu akicoment kitu kipuuzi
Usife moyo wakati utafika utasahauManeno haya tumeyasikia sana tumeyachoka!
Kuwa na subra mkuu utafanikiwa😪😪😥😥 hizi faraja.....
Utumishi hii roho mmeaza lini...
Inamaa hamtuoni mateso tunayopita jobless tusio na connection....
Hello jobless wenzangu, nataka ninunue simu (vivo Y93 Gb 128) je hizi simu hazisumbui mtandaoni? Au hazina changamoto nyingine?
Matako yako
T-pain usinivuruge ndo jibu gani sasa hilo🤔
Mkuu hii kauli usije kumtamkia mtu hadharani...mipango ya Mungu ni tofauti na yakokuna members sidhani kama watakuja kupata ajira humu.nawasilisha
TRC inatoa matangazo ya technician na certificate tu vp kuhusu bachelor?, Al afu bachelor nyingi za mechanical, electrical na Automobile Engineering ziko data base ya psrs why wasizitoe maana wapo wengine hata ile real placement hawajapangiwa bado na miezi imekatika kalibia mwaka sasa!TRC TENAUKO MKAONGEZE RECEIVED
Mbona wapo hapa Jf Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yakeHawawezi kutoa watapigwa za uso wakimbie kweupe😂😂,mm naomba Takukuru ikawachunguze na wenyewe kuna moja mbili tatu watang'amua