Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
leo naona limetupitia mbaliHongera familia ya utumishi tumefurahi
hongera kaka si mchezo..Alhamdulillah, asali nimeilamba
Hongera mkuuAlhamdulillah, asali nimeilamba
Asante asee,hongera kaka si mchezo..
Shukrani kiongoziHongera mkuu
Umeilamba ya nyuki yupiAlhamdulillah! Mungu mkubwa nashukuru nimelamba asali.
Hongera sanaAlhamdulillah! Mungu mkubwa nashukuru nimelamba asali.
Mkuu post za humu hazihusiani na placement...Fuatilia posts za watu wanaotoa shuhuda humu alafu tuliza akili!!
TRCUmeilamba ya nyuki yupi
Unataka kusemaje 😂Fuatilia posts za watu wanaotoa shuhuda humu alafu tuliza akili!!
Hii ni sehem ya jobless kujifariji na kupeana tips za hapa na pale, na inapotokea miongoni mwetu kama hivi kulamba asali tunapeana update kwa lengo la kupeana moyo na kutokata tamaa... Usikaze fuvu sana kwa kila kinachotumwa mengine ni utani tu. Au unataka kusema nini?Fuatilia posts za watu wanaotoa shuhuda humu alafu tuliza akili!!
Electrical engpdf lijalo nisipolamba asali najilambisha.nimechoka