Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Niwatie moyo ndugu zangu, tuzidi kujaribu wakati wa Mungu ukifika utatoka tu. Binafsi sikuwahi kufanya interview yoyote kabla.
Niliamua tu baada ya kuitwa mbili nikakacha ngoja hii ya trc nikapate uzoefu.. Uzoefu nikaupata kwel maana nilipitia written, practical na oral. Kumbe Mungu alikua amepanga mengine
 
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…