El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
we ni mechanical au electricalElectrical eng
Mechanical eng
kiufupi engineering tunatoka taratibu sana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ni mechanical au electricalElectrical eng
Mechanical eng
kiufupi engineering tunatoka taratibu sana....
Mi nashukuru Mungu yangu huwa ni kama IT tu...computer eng...we ni mechanical au electrical
Pia mimi asee ni nyuki uyouyo
Yaan electrical n technicians tu...bora computer wanatoka ila electrical tusipoangalia tunaweza kuja kua wafanya usafi wa uzi 🤣 🤣
Hivi hizi kazi walizotoa Utumishi ziko kimkoa, barua una iaddress kwa nani?Mambo yamebadilika wajameni utumishi wamechukua jukumu la TAMISEMI 😁 Acha nao waonje joto la interview tutaongea lugha walimu na wauguzi
Hongera sana, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kazi, kila la heriAlhamdulillah! Mungu mkubwa nashukuru nimelamba asali.
😂😂😂Kama umepata TRC hamna kitu. Tabu Iko palepaleHongeren mliolamba asali....
Mkawe Watumishi wema
Kwa nini unasemaa hivyo mzee??😂😂😂Kama umepata TRC hamna kitu. Tabu Iko palepale
unataka kusema kwenye SGR akuna asali. 🤣 🤣😂😂😂Kama umepata TRC hamna kitu. Tabu Iko palepale
Wakati TRC ni shirika kubwa saanaunataka kusema kwenye SGR akuna asali. 🤣 🤣
Kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaAlhamdulillah! Mungu mkubwa nashukuru nimelamba asali.
Bora upate popote pale kuliko kukosa kabisa...atapambana😂😂😂Kama umepata TRC hamna kitu. Tabu Iko palepale
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNiwatie moyo ndugu zangu, tuzidi kujaribu wakati wa Mungu ukifika utatoka tu. Binafsi sikuwahi kufanya interview yoyote kabla.
Niliamua tu baada ya kuitwa mbili nikakacha ngoja hii ya trc nikapate uzoefu.. Uzoefu nikaupata kwel maana nilipitia written, practical na oral. Kumbe Mungu alikua amepanga mengine
Address kwenda PSRSHivi hizi kazi walizotoa Utumishi ziko kimkoa, barua una iaddress kwa nani?
Kabisaa mkuuSgr imefufua trc. Kweli maendelea ya vitu ndio huleta maendeleo ya watu. Inafurahisha jinsi vijana wanavyoendelea kulamba asali kupitia trc