Hii itaepusha minong'ong'o ile wakati wa zoazoa.Afya wanalialia hawaamini kama wanapigishwa paper....
Nawaonea huruma wangejua paper zenyewe si lelemama...
Sure...psrs inasaidia kupunguza utapeli, mambo ya nipe laki 5 uingie serikalin hakunaHii itaepusha minong'ong'o ile wakati wa zoazoa.
Hapa mtu utajua kabisa umepata 48 NOT SELECTED
Then unageukia mishe zingine ingali mapema.
Boss iyoHii itaepusha minong'ong'o ile wakati wa zoazoa.
Hapa mtu utajua kabisa umepata 48 NOT SELECTED
Then unageukia mishe zingine ingali mapema.
Daaah aisee tabu sio powa. Kuna watu nawafahamu walilamba asali mwaka jana mwezi wa kumi na mwingine kalamba asali mwaka huu 2024 mwezi wa 2. Wameripoti kazini ila hadi leo wapo kitaa wameambiwa wasubirie watapigiwa simu.😂😂😂Kama umepata TRC hamna kitu. Tabu Iko palepale
Asali ipo ya kawaida sana ila hadi uje uanze kazi utakuwa umeshakaa sana kitaa. Ulizeni wenzenu walioitwa trc tangu mwaka jana mwezi 10. Hadi leo wapo home wanasubiria kupigiwa simuunataka kusema kwenye SGR akuna asali. 🤣 🤣
Hahahaaa, ndio uhalisia inabidi ianze kuzoeleka mapemaBoss iyo
NOT SELECTED
Usiiseme inashtuaga Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
duh itakua wanasubri mradi wa dar dom uanzeAsali
Asali ipo ya kawaida sana ila hadi uje uanze kazi utakuwa umeshakaa sana kitaa. Ulizeni wenzenu walioitwa trc tangu mwaka jana mwezi 10. Hadi leo wapo home wanasubiria kupigiwa simu
Walilamba sehemu ipiDaaah aisee tabu sio powa. Kuna watu nawafahamu walilamba asali mwaka jana mwezi wa kumi na mwingine kalamba asali mwaka huu 2024 mwezi wa 2. Wameripoti kazini ila hadi leo wapo kitaa wameambiwa wasubirie watapigiwa simu.
Bando mkuu😂pinacoladee ulifia wapi au bando 🤣 🤣
Mkuu nawe si ulilamba uko auAsali
Asali ipo ya kawaida sana ila hadi uje uanze kazi utakuwa umeshakaa sana kitaa. Ulizeni wenzenu walioitwa trc tangu mwaka jana mwezi 10. Hadi leo wapo home wanasubiria kupigiwa simu
🤣 🤣 hawa jamaa wanazambi sanaBando mkuu😂
Hapana mkuuMkuu nawe si ulilamba uko au
trc ila bado hawajapangiwa vituo vya kwenda kufanyia kazi.Walilamba sehemu ipi
Hii NOT SELECTED hii ikikupata maeneo ya nje na unapoishi utalaani miaka 100Hahahaaa, ndio uhalisia inabidi ianze kuzoeleka mapema
Soma tangazo la kazi vizuri kule chini.Hivi hizi kazi walizotoa Utumishi ziko kimkoa, barua una iaddress kwa nani?
Daa imebid nikaingie portal nikaangalie selected yng isije ikawa imechange,hivi kuna shida kwenye kulogin?Hii NOT SELECTED hii ikikupata maeneo ya nje na unapoishi utalaani miaka 100
Heheheeekuna pdf la TCRA uko.hongereni watu wa IT database inafanya kazi aisee