Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😂😂

Umenikumbusha 2021 Rais Samia alivoingia madarakani na kusema watu wapate chanjo ya corona, kipindi hicho hicho nikaitwa interview nikaona hapo ngoja nikapate chanjo ili nionekane naunga mkono juhudi za Rais Samia na nikakusudia kuwaambia kuwa nimechanja 😂

Sasa kabla ya interview wakaniuliza vipi uko poa? Nikajibu siko poa sana mana kichwa kinauma mana jana nimetoka kupata chanjo ya corona nikajibiwa haya poa jikaze 😂

Pdf ilipotoka nikalambishwa mchanga 😂
Walihisi utawafia kazini maana kipindi kile watu waliochanjwa wapo waliokuwa wanapoteza maisha ghafla😀😀
 
Ukipeleka barua kutoka PSRS unaenda pamoja na vyeti vyako vyote. Hapo ndio kuripoti na utaombwa details zingine muhimu ili Mwajiri akamilishe taratibu za Ajira.

Sasa wakati anasubiri kukamilisha hizo taratibu ndio anawaambia warudi kwanza home watapigiwa simu ili wakaanze kazi.

Sasa hapo utasemaje hajaripoti?

Hapa mwajiri ndio anazingua tu!
Upo sahihi mkuu apa mwajiri kama yupo fasta bhada ya kuripoti ndani ya mwezi unaanza kula salary
 

Habari ndugu wananchi wa mikoa ya​

ARUSHA na KILIMANJARO...,​

Kwa mahitaji ya...,​

1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,​

2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,​

3. Fremu za biashara KWA MIJI YA MOSHI na ARUSHA ,​

4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka​

4.1 Ofisi za taasisi,​

4.2 GODOWN ,​

4.3 KARAKANA (WORKSHOP) ,​

4.4 Sehemu au Jengo la kila aina ya shughuli za kiuchumi 5.MASHAMBA Kwa ajili ya kilimo , ufugaji​

6.Viwanja kwa ajili ya makazi vipo​

6.FULL FURNISHED APARTMENTS ZENYE KILA KITU NDANI ....​



kwa MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI..​


0672701329/0756294771​







DALALI Lexus SUV
 

Habari ndugu wananchi wa mikoa ya​

ARUSHA na KILIMANJARO...,​

Kwa mahitaji ya...,​

1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,​

2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,​

3. Fremu za biashara KWA MIJI YA MOSHI na ARUSHA ,​

4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka​

4.1 Ofisi za taasisi,​

4.2 GODOWN ,​

4.3 KARAKANA (WORKSHOP) ,​

4.4 Sehemu au Jengo la kila aina ya shughuli za kiuchumi 5.MASHAMBA Kwa ajili ya kilimo , ufugaji​

6.Viwanja kwa ajili ya makazi vipo​

6.FULL FURNISHED APARTMENTS ZENYE KILA KITU NDANI ....​



kwa MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI..​


0672701329/0756294771​







DALALI Lexus SUV
mie nahitaji tako lako namba si hii unayopatikana:ALERTA::ALERTA:
 
Back
Top Bottom