Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😀😀😀...
Unamaanisha turudi nyuma meter 100 kama Taifa!!!!
Ungekuwa Kenya unasema hivyo Gen Z wangepiga kura humuhumu kukufutia uraia wako...
Si unaweka link tu apo...ajira za halmashauri...mtu akiingia anazikuta uko
 
Sema hivi....Kwa upande wa software bado tupo nyuma sanaaa....Application yao ukifungua inamapungufu Mengi sijui wanafatilia au wanazingatia per diem tu
 
Hv watu wote humu tumejazana kina kajamba nan...tumeshindwa kumpata anaeweka pdf awe anatupa ratiba...
Binafsi nikisubir pdf halafu halitoki naumia sana
 
Habari za jioni wadau. Nina mdogo wangu amekosea kuupload cheti cha form 4 kaweka cha form 6 tumeshindwa kutoa zile attachment anaeweza tafadhali nahitaji Msaada wenu nimekwama kabisa au kama Kuna mtu anajua namna ya kutatua changamoto hii
 
Hii issue nadhani mpaka uwapigie
 
Habari za jioni wadau. Nina mdogo wangu amekosea kuupload cheti cha form 4 kaweka cha form 6 tumeshindwa kutoa zile attachment anaeweza tafadhali nahitaji Msaada wenu nimekwama kabisa au kama Kuna mtu anajua namna ya kutatua changamoto hii
Unatoa tuu mkuu sema changamoto ukirudia unaona kama vile haijabadilika kumbe unakuta tayarii
 
Habari za jioni wadau. Nina mdogo wangu amekosea kuupload cheti cha form 4 kaweka cha form 6 tumeshindwa kutoa zile attachment anaeweza tafadhali nahitaji Msaada wenu nimekwama kabisa au kama Kuna mtu anajua namna ya kutatua changamoto hii
we weka tu cheti kinachostaili kitareplace ila kufuta pale huwezi kukifuta
 
Back
Top Bottom