Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Watulie wakubali changes..wenyewe wanamrefer yle mzee Charles Darwin sasa tunataka tuone wana uwezo wa kuadapt aya mazingira mapya si wafanye tu interview wakawaonyeshe PSRS jinsi walivyo competent wawakande PSRS washazoeaa kutuonea kada nyingine sasa ni mwendo wa 90 to 100 🤣
Ngoma droo
 
Kwakuwa ni LGA...90 inawezekana...ila taasis ndio huwa mtiti
 
picha linaanza interview inaanza mwaka baada ya kuapply alafu matokeo miaka miwili baada ya interview 🤣 🤣
Kiufupi hiki chombo kinachosimamia izi ajira inatakiwa ifanye mabadiliko makubwa mambo yao hayaeleweki,kuna namna mambo yanaendeshwa kimazingaombwe sio bure.
 
Mwaka jana Wizara ya afya walitangaza ajira zikapitia utumishi kama 289 walitoa majina bila interview sisi special cases wakubwa.

Japo mimi interview siogopi maana nishafanya nyingi
Kumbe nyie ni special case 😀
 
ila kama watafanya interview kazi wanayo maana watu elfu tisa na sio mchezo
Dentist ndio sio wengi...sjui kwanini nilikimbia science leo namkumbuk sir mmoja alinambia mbn P unaweza 🤣🤣🤣ila sjutii sana ikitokea nmepata ninachokitak ndo kitu nakipenda
 
Back
Top Bottom