El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kuna malalamiko ya wafanyakazi kutokulipwa mishahara niliskia kipindi flani majuzi kadogosa kaulizwa akasema hafahamu labda ni tazaraNi kweli, lakini TRC ni hatari kama ukoma
Kaka niambie mm nasubiri mkeka wa taasisi hizi ajira sizipedi walizogoa juzikuna malalamiko ya wafanyakazi kutokulipwa mishahara niliskia kipindi flani majuzi kadogosa kaulizwa akasema hafahamu labda ni tazara
Na ukitaka kuhama aisee ni ngumu sanaaa. Huko wanajua kuajiri tu na sio kutoa uhamisho.Ni kweli, lakini TRC ni hatari kama ukoma
🤣 🤣 ukiapply tu ndio hukohuko utashangaa wanakuvuta.huu mwaka lazima tu utalamba asali kozi yako iko marketableKaka niambie mm nasubiri mkeka wa taasisi hizi ajira sizipedi walizogoa juzi
mfungwa hachagui gerezaKaka niambie mm nasubiri mkeka wa taasisi hizi ajira sizipedi walizogoa juzi
apply tu huwezi jua ya mungu mengi labda huko ndo kuna asali🤣🤣Kaka niambie mm nasubiri mkeka wa taasisi hizi ajira sizipedi walizogoa juzi
Walihisi utawafia kazini maana kipindi kile watu waliochanjwa wapo waliokuwa wanapoteza maisha ghafla😀😀😂😂
Umenikumbusha 2021 Rais Samia alivoingia madarakani na kusema watu wapate chanjo ya corona, kipindi hicho hicho nikaitwa interview nikaona hapo ngoja nikapate chanjo ili nionekane naunga mkono juhudi za Rais Samia na nikakusudia kuwaambia kuwa nimechanja 😂
Sasa kabla ya interview wakaniuliza vipi uko poa? Nikajibu siko poa sana mana kichwa kinauma mana jana nimetoka kupata chanjo ya corona nikajibiwa haya poa jikaze 😂
Pdf ilipotoka nikalambishwa mchanga 😂
Vijana walikuwa hawafi, au sura yangu ya ujobless iliwachanganya wakajua Mm mzee 😔Walihisi utawafia kazini maana kipindi kile watu waliochanjwa wapo waliokuwa wanapoteza maisha ghafla😀😀
Upo sahihi mkuu apa mwajiri kama yupo fasta bhada ya kuripoti ndani ya mwezi unaanza kula salaryUkipeleka barua kutoka PSRS unaenda pamoja na vyeti vyako vyote. Hapo ndio kuripoti na utaombwa details zingine muhimu ili Mwajiri akamilishe taratibu za Ajira.
Sasa wakati anasubiri kukamilisha hizo taratibu ndio anawaambia warudi kwanza home watapigiwa simu ili wakaanze kazi.
Sasa hapo utasemaje hajaripoti?
Hapa mwajiri ndio anazingua tu!
Mnalipwa kama mnafanyiwa favorkuna malalamiko ya wafanyakazi kutokulipwa mishahara niliskia kipindi flani majuzi kadogosa kaulizwa akasema hafahamu labda ni tazara
Kuhama sio rahisi kihivyo kama watu wanavyodhaniNa ukitaka kuhama aisee ni ngumu sanaaa. Huko wanajua kuajiri tu na sio kutoa uhamisho.
Ujobless umeanza kukunyoosha sasa😁dadekiiliutumishi limepoteza ladha aisee sababu ya haya mahalmashauri au mnasemaje majobless
mie nahitaji tako lako namba si hii unayopatikanaHabari ndugu wananchi wa mikoa ya
ARUSHA na KILIMANJARO...,
Kwa mahitaji ya...,
1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,
2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,
3. Fremu za biashara KWA MIJI YA MOSHI na ARUSHA ,
4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka
4.1 Ofisi za taasisi,
4.2 GODOWN ,
4.3 KARAKANA (WORKSHOP) ,
4.4 Sehemu au Jengo la kila aina ya shughuli za kiuchumi 5.MASHAMBA Kwa ajili ya kilimo , ufugaji
6.Viwanja kwa ajili ya makazi vipo
6.FULL FURNISHED APARTMENTS ZENYE KILA KITU NDANI ....
kwa MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI..
0672701329/0756294771
DALALI Lexus SUV
HESHIMA NI KITU CHA BURE.............HATA HAKINUNULIWI......mie nahitaji tako lako namba si hii unayopatikana