El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kama wamesema ivyo basi kufanya interview itakua impossible.lakini kama hawajasema hao wataanza kazi mwakani uko tena watagongeshwa interview kama kawaHawa september watakuwa wamesha report kazin
Wanajifariji mkuu Kwa wingi wa watu interview lazima wapige tena washukuru saiv sio tena cive pale dodoma, ila oral lazima wakapigwe na lile baridi pale migiroSasa afisa maendeleo ni special group🤣🤣 awa ni wenzetu na ss wa kusotea interview
Wao waombe kusiwe na practicalWanajifariji mkuu Kwa wingi wa watu interview lazima wapige tena washukuru saiv sio tena cive pale dodoma, ila oral lazima wakapigwe na lile baridi pale migiro
kwa wingi huu na ile baridi itabidi utumishi watumie busara wawapikie hata chai na mihogoWanajifariji mkuu Kwa wingi wa watu interview lazima wapige tena washukuru saiv sio tena cive pale dodoma, ila oral lazima wakapigwe na lile baridi pale migiro
Mambo yamebadilika ss ivi competition ni kubwa,wapo wengi nao,sema wnyew kigezo Chao kikubwa ni kwamba wapo waliomaliza kitambo sjui 2005 ndo waanze kuchukuliwa na awa wa 2022/2023 hawatak kuwapisha wakubwa zao 😀 vita ni vita mulaaWanajifariji mkuu Kwa wingi wa watu interview lazima wapige tena washukuru saiv sio tena cive pale dodoma, ila oral lazima wakapigwe na lile baridi pale migiro
Waliwapa kaz wapate hela ya nauliKuna Kada moja walishaitwa bila interview ila zila kazi zilikuwa za mkataba WA miezi 3 pia ilikuwa zinahitaji watu wengi, Mda ulipoisha na wenywe wakurudi nyumbani na kuongeza received kama kawaida
Ukichanganya na kauoga na Iile baridi alafu ndo uitwe mwanzoni 🤣🤣🤣 dah Acha pdf zitoke Tu tulambe izo asalikwa wingi huu na ile baridi itabidi utumishi watumie busara wawapikie hata chai na mihogo
Washindwe wao tu,na wanastistizwa waupdate current location 😀🤣 🤣 alafu nahisi itakua ya kidigitali si unaona wametoa na mikoa kabisa
Ila huu upendeleo sana kuna kada zmefanya interview toka mwaka jana mwshon na mwaka huu miezi ya mwanzo still hawaelew hatma yao sasa si bora wasitangaze tu izo kazi,waite wanaohitajika kuliko kupotezea watu muda 😔Hawa september watakuwa wamesha report kazin
Sio kwa nchi hii ya Tzleo halmashauri 8 zimetangaza nafas...siku pdf zikitoka hv na nikakosa....naanza kuogea chumvi ya mawe
Mwanzon napo sio poa hasa confidence ikiondoka🤣Ukichanganya na kauoga na Iile baridi alafu ndo uitwe mwanzoni 🤣🤣🤣 dah Acha pdf zitoke Tu tulambe izo asali
Unataka ratiba au kuona jina lako kwenye pdf.?Hv watu wote humu tumejazana kina kajamba nan...tumeshindwa kumpata anaeweka pdf awe anatupa ratiba...
Binafsi nikisubir pdf halafu halitoki naumia sana
Hawana computer za kutoshea kufanyisja watu zaidi ya laki moja interview[emoji1787] [emoji1787] alafu nahisi itakua ya kidigitali si unaona wametoa na mikoa kabisa
mie interview yangu ya kwanza nilitetemeka yaan ushuzi ulikua unakuja unarudi ungeniponyoka nahisi usahili ndo ungeishia hapo maana hio mixer niliyokula jana yake ilikua sio poa.. 🤣 🤣Ni mwendo wa is the,is the,is the 😂
Wana vyuo viwili tu TanzaniaDentist ndio sio wengi...sjui kwanini nilikimbia science leo namkumbuk sir mmoja alinambia mbn P unaweza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila sjutii sana ikitokea nmepata ninachokitak ndo kitu nakipenda
Afya hatufanyi interview nawaambiamie interview yangu ya kwanza nilitetemeka yaan ushuzi ulikua unakuja unarudi ungeniponyoka nahisi usahili ndo ungeishia hapo maana hio mixer niliyokula jana yake ilikua sio poa.. [emoji1787] [emoji1787]