Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna Kada moja walishaitwa bila interview ila zila kazi zilikuwa za mkataba WA miezi 3 pia ilikuwa zinahitaji watu wengi, Mda ulipoisha na wenywe wakurudi nyumbani na kuongeza received kama kawaida
 
Wanajifariji mkuu Kwa wingi wa watu interview lazima wapige tena washukuru saiv sio tena cive pale dodoma, ila oral lazima wakapigwe na lile baridi pale migiro
Mambo yamebadilika ss ivi competition ni kubwa,wapo wengi nao,sema wnyew kigezo Chao kikubwa ni kwamba wapo waliomaliza kitambo sjui 2005 ndo waanze kuchukuliwa na awa wa 2022/2023 hawatak kuwapisha wakubwa zao 😀 vita ni vita mulaa
 
Kuna Kada moja walishaitwa bila interview ila zila kazi zilikuwa za mkataba WA miezi 3 pia ilikuwa zinahitaji watu wengi, Mda ulipoisha na wenywe wakurudi nyumbani na kuongeza received kama kawaida
Waliwapa kaz wapate hela ya nauli
 
leo halmashauri 8 zimetangaza nafas...siku pdf zikitoka hv na nikakosa....naanza kuogea chumvi ya mawe
 
Back
Top Bottom