ery mendez
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 298
- 626
Tupe chanzo cha hzo taarifa aseNa kuwa selected for haimanishi umepata wala haimanishi umepata wala haimanishi umekosa ila mchakato wenu upo na upo katka idadi ya walifanya oral
Kuwa shirtlisted uwezekano wa kupata ama kukosa ila mchakato umekamilika na hata ukikosa itahifadhiwa kanzi data kwa matumizi ya baadae kulingana na muda wao
Yani hapo hamjaelewa amemaanisha na nyie lazima zitakuja shortlisted labda sisi tulitangulia kufanya kwahiyo tupo hatua ya mwisho lakini hizo status hazimaanishi umepata au umekosaTupe chanzo cha hzo taarifa ase
Subiri placement kila kitu kinawezekana uwe sel au shortl kote unaeeza pata mrijaTupe chanzo cha hzo taarifa ase
Bora umekazia na kufafanua pia yupo mtu siku moja kabla placement ilibadilika na kuwa shirtlisted ila alikosa na akaja pata taasisi nyingine tofautiYani hapo hamjaelewa amemaanisha na nyie lazima zitakuja shortlisted labda sisi tulitangulia kufanya kwahiyo tupo hatua ya mwisho lakini hizo status hazimaanishi umepata au umekosa
Nafikiri pdf ndo ina majibu ya mwishoBora umekazia na kufafanua pia yupo mtu siku moja kabla placement ilibadilika na kuwa shirtlisted ila alikosa na akaja pata taasisi nyingine tofauti
Umeelezea vzur sanaSubiri placement kila kitu kinawezekana uwe sel au shortl kote unaeeza pata mrija
Ahahah wanatutenga wasaka tonge,,,,Ila cha msingi ni placement tu! Pia kama upo shortlisted na placement haukuwepo kuwa updeted kila placement chungulia chunguliaKinachowachanganya watu n kwmaba kwenye web kupo hv na kwenye app kupo vile so Tatizo linaanzia hapo mbaya zaid ,waliotoboa hawarudigi tena humu na hata psrs wenyew WaPo but wanajifanya hawaoni hiz post
Wanatuchora tu wasubiri tupotoshe waruke hewani kukanushaKinachowachanganya watu n kwmaba kwenye web kupo hv na kwenye app kupo vile so Tatizo linaanzia hapo mbaya zaid ,waliotoboa hawarudigi tena humu na hata psrs wenyew WaPo but wanajifanya hawaoni hiz post
ππππWatu wakitoboa wanatukimbia aseeh kuna mwamba humu nilimuombaga muongozo wa interview alichonijibu aseeh sijawahi kusahau aseehKinachowachanganya watu n kwmaba kwenye web kupo hv na kwenye app kupo vile so Tatizo linaanzia hapo mbaya zaid ,waliotoboa hawarudigi tena humu na hata psrs wenyew WaPo but wanajifanya hawaoni hiz post
ππππUnakuta wameweka tangazo paleWanatuchora tu wasubiri tupotoshe waruke hewani kukanusha
Asante Mzee Ndumbaro..unastaafu lini Mkuu??Kuwa na subira
Chanzo cha muongozo huu ni wapi?SHORTLISTED= umefaulu oral, sasa kuna mawili, la kwanza ni kupata kazi uliyoomba kama idadi ya waliofaulu oral inatosha idadi ya wanaoitajika kazi, la pili ni kubaki kwenye kazi data kama waliofaulu oral ni wengi kuliko idadi ya wanaoitajika kazini....kwa mfano oral wameita watu 8 wakafaulu wanne alafu kazi inataka watu wawili, kwahy wale wanne watakuwa SHORTLISTED alafu watafanyiwa vetting ili wapatikane wawili wanaoitajika, alafu wawili watabaki kwenye kanzi data.
Mkuu mimi ni kapuku tuAsante Mzee Ndumbaro..unastaafu lini Mkuu??
Mwisho wa siku Mungu ndiye msemaji wa mwisho,mi nadhani tujiandae kwa yote jobless wenzangu tumepata alhamdulillah tumekosa pia alhamdulillah tuangalie mapambano mapya..status zitatuvuruga tu πNilivyotonywa hapo kuna uwezekano upo selected for na ukaitwa kazini ni uharaka na uhitaji ila inapokuja kuwa shortlisted maana yake ni mchakato umekamilika asilimia zote subiri placement au kutokea kanzi data kupitia taasisi hata nyingine kulingana ufauli wako
Well saidMwisho wa siku Mungu ndiye msemaji wa mwisho,mi nadhani tujiandae kwa yote jobless wenzangu tumepata alhamdulillah tumekosa pia alhamdulillah tuangalie mapambano mapya..status zitatuvuruga tu π