Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Natarajia kushuka swali la "Tell us about yourself" namna hii.

1. Kuhusu mimi
-Jina
-Title/Profession
-Jina la chuo
-Uzoefu(intership, kijiwe), humu nitachomekea viskills vichache

2. Elimu(hapa nitataja bila kuelezea range ya miaka)
-Chuo
-Advance
-Olevel

Any lead please jinsi mnavyoshukaga hili swali.

NB: Nitatumia muda mchache sana kushuka broken ya hili swali
 
Na kuwa selected for haimanishi umepata wala haimanishi umepata wala haimanishi umekosa ila mchakato wenu upo na upo katka idadi ya walifanya oral

Kuwa shirtlisted uwezekano wa kupata ama kukosa ila mchakato umekamilika na hata ukikosa itahifadhiwa kanzi data kwa matumizi ya baadae kulingana na muda wao
Wakiandika SELECTED FOR peke ake means umepata..ila wakiandika SELECTED FOR ORAL apo sivyo
 
Natarajia kushuka swali la "Tell us about yourself" namna hii.

1. Kuhusu mimi
-Jina
-Title/Profession
-Jina la chuo
-Uzoefu(intership, kijiwe), humu nitachomekea viskills vichache

2. Elimu(hapa nitataja bila kuelezea range ya miaka)
-Chuo
-Advance
-Olevel

Any lead please jinsi mnavyoshukaga hili swali.

NB: Nitatumia muda mchache sana kushuka broken ya hili swali
Binafsi nimependa huu mtiririko wako, ni swali Rahisi Ila naamini wengi tunashindwa kuliset vizuri katika kijibu.. Obviously hili swali linabidi lijibiwe kwa ufuli hvyo inahitajika kuweka vitu muhimu tu, kiasi Kwamba ndani ya dakika 3- 5 unamaliza
 
Hutopata mda wa kuongea sana taja vichache tuu ..kama primary ulisoma wapi hakuna haja iyo taja advance na chuo tuu mana hutopata mda kutaja vyote ivo
 
Na selected for null?
Hizo ni misbehave ya sysyem hazina uhusiano na placement tusbri pdf
sjui kuhusu iyo selected for null..afu kama unatumia app usiifatlie wewe angalizia kupitia website yao..nmekwambia iyo SELECTED FOR peke ake kwakua mm ilikuja ivo kweny account yangu siku moja baadae wakatoa pdf nmeitwa kazini
 
Binafsi nimependa huu mtiririko wako, ni swali Rahisi Ila naamini wengi tunashindwa kuliset vizuri katika kijibu.. Obviously hili swali linabidi lijibiwe kwa ufuli hvyo inahitajika kuweka vitu muhimu tu, kiasi Kwamba ndani ya dakika 3- 5 unamaliza
Kwa hiyo mtiririko wangu umeuonaje? unanishauri nini?
 
Natarajia kushuka swali la "Tell us about yourself" namna hii.

1. Kuhusu mimi
-Jina
-Title/Profession
-Jina la chuo
-Uzoefu(intership, kijiwe), humu nitachomekea viskills vichache

2. Elimu(hapa nitataja bila kuelezea range ya miaka)
-Chuo
-Advance
-Olevel

Any lead please jinsi mnavyoshukaga hili swali.

NB: Nitatumia muda mchache sana kushuka broken ya hili swali
Mwifwa wakikwambia education background usitaje hayo majina yako mzee anzia elimu tu
 
Duuuh, kumbe haitakiwi kuanza majina kama wakitaka education background,,
Mkuu inaonesha we ni mzuefu tupe nondo basi ili vijana tukale asali
Education background hutakiwi kutaja majina yako maana unaenda pale waanzaga wellcom mr..jobless for the interview can you tell us about your education background kwahyo hapo elezea elimu yako na experience yako ,hilo wakikuuliza tell us about your self ndo unaelezea wewe ni nani na elimu yako na experience
 
Hahahaaaa, asikate tamaa.

Mimi nilibakisha silaha moja(NAOT) hatimaye shoot limekuwa on target, sasa ni battle la kipa na mpira[emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa wanakusoma tu hapa, Isije tu ikatokea re-bound na wewe ukawa umeshageukia kibendera kushangilia.
 
Back
Top Bottom