El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
tanesco,ewura,tpdc,Bot wiki ijayo na mi kuna pdf langu hukoJkci,muhimbili,moi wiki ijayo kuna pdf langu huko
🤣tanesco,ewura,tpdc,Bot wiki ijayo na mi kuna pdf langu huko
naona taasisi nono zimenza kurudisha matumaini kwa majoblessDaaah pdf la leo kina taasis kali
Kweli...tusubir pdf lingine...ila polisi wameingiaje uku tenanaona taasisi nono zimenza kurudisha matumaini kwa majobles
Swapendi polisi ,tpdf ukienda Huko kama sio familia unaishia mshahara tena wa haashauri wenyewe wanalipana maposho tuKweli...tusubir pdf lingine...ila polisi wameingiaje uku tena
Kaka huu mwezi wetu mm nina za ndani ndani.naona taasisi nono zimenza kurudisha matumaini kwa majobless
Mwezi wa pdf huu tusjindwe sie maana kibali ndo kimeanza kufanya kazi now.Daaah pdf la leo kina taasis kali
Mapema sana kaka.tanesco,ewura,tpdc,Bot wiki ijayo na mi kuna pdf langu huko
portal limeshawashinda na ma IT wao wa mchongo chezea eng. tanguye🤣 🤣TPF watuache kidogo..waende kwenye portal yao kule
Sasa huku wataleta balaa...mambo ya kuish kwa command sioportal limeshawashinda na ma IT wao wa mchongo chezea eng. tanguye🤣 🤣
Oy cha mtu ni mavi , Taasisi ni za watu hata kama wakisema ni mali ya umma amini kuwa kuna vijiko pia vinachota pakubwa so, tupambane sana kama unaweza kidogo jiinue uondoke kaka.Achana na hao kaka maana hii nchi wanaijua wenyewe tu.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Watumishi raia hao mkuu. Hawana shida kabisa.Kweli...tusubir pdf lingine...ila polisi wameingiaje uku tena
Kwa taarifa alizozungumza Eng.. mnaomba ajira taarifa zinakaa katika database kwa kipindi cha mwaka mmoja..Guys jina linakaa data base kwa mda gani??
Ila Angalia pdf la juzi wamechukua watu wa January 2023.Kwa taarifa alizozungumza Eng.. mnaomba ajira taarifa zinakaa katika database kwa kipindi cha mwaka mmoja..
🤣🤣🤣🤣TPF watuache kidogo..waende kwenye portal yao kule
Mmh hao hapana wanaweza kukupangia lindoWatumishi raia hao mkuu. Hawana shida kabisa.
Umeona ee Kuna wengine wamefanya oral since mwezi wa 5 mwaka Jana, majina Yao yanaendelea kutokaIla Angalia pdf la juzi wamechukua watu wa January 2023.
Hili la leo wanachukua watu wa June 2023 ambapo ni zaidi ya mwaka