Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Oy cha mtu ni mavi , Taasisi ni za watu hata kama wakisema ni mali ya umma amini kuwa kuna vijiko pia vinachota pakubwa so, tupambane sana kama unaweza kidogo jiinue uondoke kaka.Achana na hao kaka maana hii nchi wanaijua wenyewe tu.
 
Back
Top Bottom