Sawa mkuuEducation background hutakiwi kutaja majina yako maana unaenda pale waanzaga wellcom mr..jobless for the interview can you tell us about your education background kwahyo hapo elezea elimu yako na experience yako ,hilo wakikuuliza tell us about your self ndo unaelezea wewe ni nani na elimu yako na experience
Hahahahaaa, nipo safarini naelekea huko. Nikikuta wamepindua meza, tutafikishana mbali[emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa wanakusoma tu hapa, Isije tu ikatokea re-bound na wewe ukawa umeshageukia kibendera kushangilia.
Hata ukitaja chuo pekee sio mbaya hakuna haja sana kutaja elim ya chiniVipi ukitaja chuo pekee?
Swali ni tell us about yourself..ivo vya education background,history cjui vikolokolo gan vyote vinakuepo ndan ya ilo swali la TELL US ABOUT YOURSELF tumia mda mfupi tuu kulijibu wala usitaje info kibaoDuuuh, kumbe haitakiwi kuanza majina kama wakitaka education background,,
Mkuu inaonesha we ni mzuefu tupe nondo basi ili vijana tukale asali
About yourself ndo swali ivo vingine vyote unashuka navyo umo umo ndan ya swali la tell us about urselfAbout myself si nitashuka vyote?
Kwa nn mzee?mjadala wa status nin unakukatisha tamaa?Duuuh humu ndani kila nikisoma comments naona ka nilishakandwa oral before ata placements hazijatoka
Ndo ivo kiingereza chako tu mtu binafs utakavoweza kuongea mbele ya panelJamani eee Hilo swali hapo unaweza jibu vyovyote hata majina Yako elimu ya shule ya msingi hadi chuo haitumii dakika hata tatu unakuaa umemaliza Sasa mie siwaeli mnavyosema useme umesoma chuo
Kikubwa ni kuwa andika English kwenye kalatasi hapo imeze na uwe na uwezo wa kuieleza ndani ya dakika chache
Hilo battle la kipa na mpira unalifukuzia mpaka uhakikishe goma limevuka mstari wa goli,.. Usiache on target yako kipa apambane nayo peke yake, kuna re-bound.Hahahahaaa, nipo safari naelekea huko. Nikikuta wamepindua meza, tutafikishana mbali[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu unatia timu lini Dom? Upo kwenye group la tarehe 8 Jumanne na wewe?Natarajia kushuka swali la "Tell us about yourself" namna hii.
1. Kuhusu mimi
-Jina
-Title/Profession
-Jina la chuo
-Uzoefu(intership, kijiwe), humu nitachomekea viskills vichache
2. Elimu(hapa nitataja bila kuelezea range ya miaka)
-Chuo
-Advance
-Olevel
Any lead please jinsi mnavyoshukaga hili swali.
NB: Nitatumia muda mchache sana kushuka broken ya hili swali
PDF pekee ndio msema kweli, kuwa na subiraDuuuh humu ndani kila nikisoma comments naona ka nilishakandwa oral before ata placements hazijatoka
Saea mkuu, mimi naona ukitaja chuo then unataja profession na uzoefu, inakuwa njema.Hata ukitaja chuo pekee sio mbaya hakuna haja sana kutaja elim ya chini
Sawa mkuuSwali ni tell us about yourself..ivo vya education background,history cjui vikolokolo gan vyote vinakuepo ndan ya ilo swali la TELL US ABOUT YOURSELF tumia mda mfupi tuu kulijibu wala usitaje info kibao
Naishi nalo hivi mkuu, mambo mengi unaweza kujitoa mchezoniAbout yourself ndo swali ivo vingine vyote unashuka navyo umo umo ndan ya swali la tell us about urself
Ahsante mkuuJamani eee Hilo swali hapo unaweza jibu vyovyote hata majina Yako elimu ya shule ya msingi hadi chuo haitumii dakika hata tatu unakuaa umemaliza Sasa mie siwaeli mnavyosema useme umesoma chuo
Kikubwa ni kuwa andika English kwenye kalatasi hapo imeze na uwe na uwezo wa kuieleza ndani ya dakika chache
Hii ni penati yenye ruhusa ya kumalizia rebound. Nitaishi nayo kesho. Mungu atie wepesiHilo battle la kipa na mpira unalifukuzia mpaka uhakikishe goma limevuka mstari wa goli,.. Usiache on target yako kipa apambane nayo peke yake, kuna re-bound.
Naingia kikaangoni kesho, muda huu nimefika Msamvu naelekea DomMkuu unatia timu lini Dom? Upo kwenye group la tarehe 8 Jumanne na wewe?
Ok kila lakher mkuu,wewe ni NAOT ama kuna wa HESLB wa kesho?Naingia kikaangoni kesho, muda huu nimefika Msamvu naelekea Dom
NAOT tuOk kila lakher mkuu,wewe ni NAOT ama kuna wa HESLB wa kesho?