Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Education background hutakiwi kutaja majina yako maana unaenda pale waanzaga wellcom mr..jobless for the interview can you tell us about your education background kwahyo hapo elezea elimu yako na experience yako ,hilo wakikuuliza tell us about your self ndo unaelezea wewe ni nani na elimu yako na experience
Sawa mkuu
 
Duuuh, kumbe haitakiwi kuanza majina kama wakitaka education background,,
Mkuu inaonesha we ni mzuefu tupe nondo basi ili vijana tukale asali
Swali ni tell us about yourself..ivo vya education background,history cjui vikolokolo gan vyote vinakuepo ndan ya ilo swali la TELL US ABOUT YOURSELF tumia mda mfupi tuu kulijibu wala usitaje info kibao
 
Jamani eee Hilo swali hapo unaweza jibu vyovyote hata majina Yako elimu ya shule ya msingi hadi chuo haitumii dakika hata tatu unakuaa umemaliza Sasa mie siwaeli mnavyosema useme umesoma chuo

Kikubwa ni kuwa andika English kwenye kalatasi hapo imeze na uwe na uwezo wa kuieleza ndani ya dakika chache
 
Ndo ivo kiingereza chako tu mtu binafs utakavoweza kuongea mbele ya panel
 
Natarajia kushuka swali la "Tell us about yourself" namna hii.

1. Kuhusu mimi
-Jina
-Title/Profession
-Jina la chuo
-Uzoefu(intership, kijiwe), humu nitachomekea viskills vichache

2. Elimu(hapa nitataja bila kuelezea range ya miaka)
-Chuo
-Advance
-Olevel

Any lead please jinsi mnavyoshukaga hili swali.

NB: Nitatumia muda mchache sana kushuka broken ya hili swali
Mkuu unatia timu lini Dom? Upo kwenye group la tarehe 8 Jumanne na wewe?
 
Jamani eee Hilo swali hapo unaweza jibu vyovyote hata majina Yako elimu ya shule ya msingi hadi chuo haitumii dakika hata tatu unakuaa umemaliza Sasa mie siwaeli mnavyosema useme umesoma chuo

Kikubwa ni kuwa andika English kwenye kalatasi hapo imeze na uwe na uwezo wa kuieleza ndani ya dakika chache
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom