ukiona wametangaza tena it means hakukua na database it means walichukua watu wao hao wengine mlipewa thank you for coming.tangazo si hua linasema kabisa mliokosa hawamkufaulu hivyo msisite kuomba tena muonapo tangazo au huwa usomi mpaka mwishoIla utumishi.
Watu tumepambana interview mwaka jana Oktoba, 2023 hadi oral tukafika.
Cha ajabu nafasi tulizofanyia nterview szimetangazwa tena from tamisemi. Je inamana database haifanyi kazi?
Ila utumishi, ila Tanzania.
Sina tafiti za kupinga ukisemacho lakini kupitia jukwaa hili Kuna shuhuda kadhaa za watu waliobahatika kupata ajira pasipo na vyote ulivyotaja. Jambo la msingi ni kujianda vyema na kuukabili usahili Huku ukiamini. Binafsi nimepiga sahili kadhaa mpaka ya mwisho ikanipatia kazi pasipo connection wala rushwa.Mkuu sasa hivi mambo yamebadilika ni connection sana na rushwa kwa wingi sana
Siku yako inakaribia, vuta subirakuna watu wanaraha jamani just imagine sasa hivi kuna watu wanakaribia chalinze wameweka vishoka karibu na dereva pale uelekeo dom dah hio furaha yake unaweza kumrukia dereva shingoni aisee..
Daa mie na GPA ya 2.6 ya political sciance na wanangu wote wa UDOM tuendelee kulima matikiti tulishe jobless wenzetuIlikua hivyo ulizia watu wa Kada ya kilimo miaka tajwa hapo juu watakupa ushuhuda zaidi.
Ni kweli pia watu waliopata wengi hawasemi ukweli jinsi walivyopata wengine wanaopokea rushwa ni ndugu zetu vijana wenzetu rushwa za aina mbali mbali. Kikubwa zaidi ni kujiandaa vizuri kumuomba Mungu overSina tafiti za kupinga ukisemacho lakini kupitia jukwaa hili Kuna shuhuda kadhaa za watu waliobahatika kupata ajira pasipo na vyote ulivyotaja. Jambo la msingi ni kujianda vyema na kuukabili usahili Huku ukiamini. Binafsi nimepiga sahili kadhaa mpaka ya mwisho ikanipatia kazi pasipo connection wala rushwa.
Usijenge dhana hiyo akilini mwako, ukishakuwa na dhana hiyo inakupunguzia motives za kupambana. Hebu jaribu kufanya screening ya watu unaowajua ambao wamepata ajira kupitia sekretarieti hali zao za kiuchumi na familia zao. Utagundua wapo ambao hata milo mitatu ya siku kwao ilikua ni tatizo.Daa mie na GPA ya 2.6 ya political sciance na wanangu wote wa UDOM tuendelee kulima matikiti tulishe jobless wenzetu
Ni kweli pia watu waliopata wengi hawasemi ukweli jinsi walivyopata wengine wanaopokea rushwa ni ndugu zetu vijana wenzetu rushwa za aina mbali mbali. Kikubwa zaidi ni kujiandaa vizuri kumuomba Mungu over
Mkuu achana na story za vijiweni....hakuna mambo hayo we pambana tu kiume..BTWMkuu sasa hivi mambo yamebadilika ni connection sana na rushwa kwa wingi sana
kama uko vizuri kisiasa unaanzia hata uvccm uko kimzahamzaha mara paaap mkuu wa mkoa unaanza kupiga watu spana..Daa mie na GPA ya 2.6 ya political sciance na wanangu wote wa UDOM tuendelee kulima matikiti tulishe jobless wenzetu
Ni kweli pia watu waliopata wengi hawasemi ukweli jinsi walivyopata wengine wanaopokea rushwa ni ndugu zetu vijana wenzetu rushwa za aina mbali mbali. Kikubwa zaidi ni kujiandaa vizuri kumuomba Mungu over
Ohooo hapo sasa bora upambane huko huko secretariatkama uko vizuri kisiasa unaanzia hata uvccm uko kimzahamzaha mara paaap mkuu wa mkoa unaanza kupiga watu spana..
unapita potepote tuu.Ohooo hapo sasa bora upambane huko huko secretariat
Acha tu mkuu way back dsm kampuni x mbona niliziacha hela hata siku ya kupumzika unapigiwa simu maswala ya kazi upo kazini muda wote maneno kisa umesing ka mkataba kaoMkuu achana na story za vijiweni....hakuna mambo hayo we pambana tu kiume..BTW
Private kuna connection lkn ukipata utatamani uache, kazi za connection zinamanyanyaso sana
Uchawa siwezi mimi mkuuunapita potepote tuu.
Kazi za connection wanaweza madem tu...wanaume ni udhalilishajiA
Acha tu mkuu way back dsm kampuni x mbona niliziacha hela hata siku ya kupumzika unapigiwa simu maswala ya kazi upo kazini muda wote maneno kisa umesing ka mkataba kao
Wanakatwa sioKazi za connection wanaweza madem tu...wanaume ni udhalilishaji
Kaka nimecheka hapa nakumbuka 2018 kuna bro anamaliza chuo ana GPA ya 2.3 yule hatakaa apate kazi🤣🤣🤣😍😂😂😂😂 alikua anasup kila semesterKazi za connection wanaweza madem tu...wanaume ni udhalilishaji
mwenzio mwijaku anakagorofaUchawa siwezi mimi mkuu
watu wanafunguka utazani tanesco wananyanyua nguzo 🤣 🤣Ila jobless mna matusi makali aisee 🤣🤣🤣🤣🤣,mithiri ya manual labourers WA kwenye viwanda vya wahindi .
Hizi ngumi humu ni kama za enzi zile za majobless ambao walikuwa na stress ,Akina Kyagata na wenzake wale ,nadhani karibia wote washapata Placement
Mwifwa njoo
Kagorofa uchwara🤣🤣🤣😂mwenzio mwijaku anakagorofa
Hahaaa , wale vijana wa TANESCO nao wako vizuri kwenye matusiwatu wanafunguka utazani tanesco wananyanyua nguzo 🤣 🤣