Chizi wewe🤣🤣🤣🤣🤣mie hapa natamani hata niuze nyumba siku nikijua hati zilipo wamekwisha
Tulia dawa ikuingie vizuriIla utumishi.
Watu tumepambana interview mwaka jana Oktoba, 2023 hadi oral tukafika.
Cha ajabu nafasi tulizofanyia nterview szimetangazwa tena from tamisemi. Je inamana database haifanyi kazi?
Ila utumishi, ila Tanzania.
Wew umesema hujawahi fanya interview ..unapata wapi nguvu za kusema haya[emoji28][emoji28]Tulia dawa ikuingie vizuri
Database ndio kazi yake hiyommh hawa watu waliopata TANESCO wamefanya usahili lini
Jipange tu...sema zinakaza, unakandwa live unajionaWakuu toka nimalize chuo 2021 sijawai fanya interview yeyote aisee ngoja nije nionje moja
Baada ya written ni mwendo wa kuchungulia status tuJipange tu...sema zinakaza, unakandwa live unajiona
Bado mkuu kuna mlima wa practical....huo ndio huwa mtihani sasaBaada ya written ni mwendo wa kuchungulia status tu
Oral nilifanyia dom, nakumbuka nilala msikiti wa wanafunzi. chuo kilikuwa hakijafungwa.Oral ulifanyia mkoa gani?
Wale ambao mnaenda kwenye oral(kwa sasa ambapo written ni Online halafu wewe ni Me) kama unamudu room za 10k hadi 15k, kalale kwenye hizo room, kama huwezi kuzimudu kalale stand kama alivyofanya huyu jamaa ili kuepuka adha za kufikia nyumbani/geto kwa watu iwe mtu wa aina yeyote yule.
Kingine, hustle za kimya kimya ni nzuri sana ili kuepusha kelele zisizokuwa na maana kwa Walimwengu.
Waache waje wafurahie ushindi baadae na hapo ndipo utaona watakapokupa heshima kama zote.
Hakikisha hukati tamaa kwenye kupambana.
Ahaa sawa, wanafunzi wakiwaga chuoni huwa kuna kuwa na Advantage kama hiyoOral nilifanyia dom, nakumbuka nilala msikiti wa wanafunzi. chuo kilikuwa hakijafungwa.
Kabisa aisee tena ukifikia na vyumba vya ibada unapata muda wa kufanya maombi piaAhaa sawa, wanafunzi wakiwaga chuoni huwa kuna kuwa na Advantage kama hiyo
sometime nikikumbuka nilivyojibu kwenye interview nguvu ya kuchungulia pdf inaisha.mungu tu achezee mifumo nijione
Sir God afanye wepesi 😂Kabisa aisee tena ukifikia na vyumba vya ibada unapata muda wa kufanya maombi pia
Ndio ivo tulipiga sana dua nakumbukaSir God afanye wepesi 😂
Safi sana aisee, Mungu hajawahi kumtupa mwanae 💪Ndio ivo tulipiga sana dua nakumbuka
pole na wewe 🤣 🤣🤣😆 😆 pole mkuu
Leo hamna pdf Katibu alikuwa katavi aananza kusaini leo nadhani kuanzia jumatano.Kumekucha wasaka ajira....
Leo tunamuomba IT na cabinet yake watufikirie
Huwa ni jambo zuri kuweka low expectations, hii inakufanya kutoumia kwa matokeo yoyote yatakayotokeaTulikuwa watatu na wote tulikuwa tunafanya oral moja, mungu kasaidia wote tumepata na tunashukuru mungu hatujaingia halmashauri japo tulijiwekea popote tunaenda hatutakaidi wala kusononeka.