Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Oral ulifanyia mkoa gani?

Wale ambao mnaenda kwenye oral(kwa sasa ambapo written ni Online halafu wewe ni Me) kama unamudu room za 10k hadi 15k, kalale kwenye hizo room, kama huwezi kuzimudu kalale stand kama alivyofanya huyu jamaa ili kuepuka adha za kufikia nyumbani/geto kwa watu iwe mtu wa aina yeyote yule.

Kingine, hustle za kimya kimya ni nzuri sana ili kuepusha kelele zisizokuwa na maana kwa Walimwengu.

Waache waje wafurahie ushindi baadae na hapo ndipo utaona watakapokupa heshima kama zote.

Hakikisha hukati tamaa kwenye kupambana.
Oral nilifanyia dom, nakumbuka nilala msikiti wa wanafunzi. chuo kilikuwa hakijafungwa.
 
Back
Top Bottom