Hongera sana mkuuHabari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Vuta subira....pdf zipo za kutosha mwezi huu...Inamaana Hawa wanaoitwa kwenye kada yangu walifanya vizuri kunizidi?! Mungu nikumbuke nami
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuuHabari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Atoe shuhuda tumpe hongera zake asitukimbie kimya kimyaPinacoladee umelamba asali kimya kimya...huonekani
nimecheka kimya kimyaHongera sana. Jiandae na depo la miezi mitatu kama sehemu ya induction 😁 😁 😁
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.Alhamdulilah! NAMI nimefanikiwa kulamba asali Leo.
Shukrani za dhati kwa Mwifwa ,mfwende sawadogo na wengine wote tuliokuwa tunapeana moyo hapa jukwaani
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaHabari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hongera sana. Jiandae na depo la miezi mitatu kama sehemu ya induction [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kuja jamaa alimwambia waonane pm..toka hapo Pinacoladee kawa adimu sanaAtoe shuhuda tumpe hongera zake asitukimbie kimya kimya
kaka nakuona peke yako ndiyo unatupa moyo.Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.
🤣 🤣 🤣 jamaa atakua kashatoa ajira uko..Kuja jamaa alimwambia waonane pm..toka hapo Pinacoladee kawa adimu sana
Hongera sana. Ukawe mtumishi mwema kwa maslahi ya umma.Habari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Wengi huwa wanakimbia humu wakishapata placement.kaka nakuona peke yako ndiyo unatupa moyo.
Maana jamaa alidai eti kaguswa na mateso ya dada katika kutafuta ajira...wanaume hakutuona🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 jamaa atakua kashatoa ajira uko..
alafu aliyeguswa na mateso sasa na yeye analalamikia ucheleweshwaji wa pdf. 🤣 🤣Maana jamaa alidai eti kaguswa na mateso ya dada katika kutafuta ajira...wanaume hakutuona🤣🤣🤣