Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ni nzuri kwakuwa bado tunapumua...maana yake bado tunahitajika🤣🤣Good afternoon all jobless. Wajionaje na hali ulipo kwa sasa ☺☺🤣
Wow nimekufurahia madam.Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua[emoji123][emoji56]
Tuko pamojahii ni kama ridhiki, kila mtu na yake...tuzidi kuvumilia tu
Pinaaa! Hongera sanaa, the strugle was real😄Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
dahh hongera aisee mungu kaona jitihada zako 🤣 🤣 🤣Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
ni hili pdf la jana sio??Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNdugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua[emoji123][emoji56]
kwa hiyo pinacoladee mpaka sasa hivi bado hujafika dodoma hivi uko serious kweli???Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
Kule PM ulipoitwaNdugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
PM was real🤣🤣🤣Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
Hahahah af nilijua pina ni umeme na yeye kumbe sio, hayaa zamu yetu inakujaakwa hiyo pinacoladee mpaka sasa hivi bado hujafika dodoma hivi uko serious kweli???
Taasisi za serikali zinazotaka watu wa umeme ni ngapi?Karoho kananiuma kweli yan leo nmeamka nina kitu kweny roho hapa sijui Engineer wa umeme tumewafanya nn utumishi dah
Nadhani conclusion yako ipo sahihiTaasisi za serikali zinazotaka watu wa umeme ni ngapi?
Japo pia mwenzetu wewe una nafuu kwani unaweza kujiajiri chap na ukapiga hela...'umeme'.Km wa michanical eng nao wanajiajiri chap.Au siielewi michongo vizuri?
Wewe kila siku kutoa hongera tuHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Mkuu hongera sana hakika Mwenyezi Mungu hutoa Kwa wakati sahihi kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuuNdugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
Jamaaan Pina hongera sanaNdugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇