Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Kazi kutoa hongera tu. Kwenda interview aaahJamaaan Pina hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kutoa hongera tu. Kwenda interview aaahJamaaan Pina hongera sana
Hongera sana kwa kufankiwa kuvuka kihunzi, ukawe mtumishi mwema, pia usikimbie huku uendelee kuchangamsha km kawaida yakoNdugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
Aloooh! Pina, Tutakumiss sana humu asee🥴 mungu akutangulie huko kazini, Mwenyezi Mungu pia awe nawe daima huko japo na sisi bado tunapaota sana ila soon wote humu tunakuja huko🤗ALUTO CONTINUO🥲Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
ndugu yangu wewe mbona huitwi pm?kwa hiyo pinacoladee mpaka sasa hivi bado hujafika dodoma hivi uko serious kweli???
Hongera mno dadaNdugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
Hivi interview zao Huwa zinalenga nini zaidKUmekucha wasaka ajira. Ni siku nyingine tena. Nasubiria interview nimeshakunywa point za kutosha mpaka zingine zinamwagika. Utumishi tuiteni tufanye interview fasta tuendelee kusikilizia na kuomba dua ya placement
craming capacities interviewHivi interview zao Huwa zinalenga nini zaid
Sema leo fupilimetoka pdf hukoooo
Ila Katibu amechachuka pdf kila siku mwezi huuSema leo fupi
Yah kwakweli pongezi ziwafikieIla Katibu amechachuka pdf kila siku mwezi huu
Bado nyingi sanaYah kwakweli pongezi ziwafikie
Daaah hiii kitu inakera balaaa..Hongera sana. Jiandae na depo la miezi mitatu kama sehemu ya induction 😁 😁 😁
Hongera sana maaan haikuwa rahisi.Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
Hongera sana mkuu. Ukawe mtumishi mwema na muadilifu serikalini.Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
na nani??pm is real for sure
ndugu yangu wewe mbona huitwi pm?
Duuh basi tuna safar ndefucraming capacities interview