Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Hongera sana mkuu
 
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
 
Suala la Placements lipo mikononi mwa Mwajiri.

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa walifanya Oral June 3, 2024. July 15, 2024 placements zikatoka. Hapo mwajiri ana uhitaji na watu wake akaamua apelekewe mapema.

Hongereni wote mlioingia kundini, mkawe watumishi wema
 
Habari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Hongera sana. Jiandae na depo la miezi mitatu kama sehemu ya induction [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Hivi watapigwa hii kitu kweli, hawa si watumishi wa kawaida tu hapo Wizarani
 
Habari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Hongera sana. Ukawe mtumishi mwema kwa maslahi ya umma.
 
Back
Top Bottom