Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
 
Wow nimekufurahia madam.

Hongera sana kwa kulamba asali Mungu akutangulie.

Tuombee na sisi
 
Pinaaa! Hongera sanaa, the strugle was real😄
 
dahh hongera aisee mungu kaona jitihada zako 🤣 🤣 🤣
 
ni hili pdf la jana sio??
 
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
kwa hiyo pinacoladee mpaka sasa hivi bado hujafika dodoma hivi uko serious kweli???
 
Kule PM ulipoitwa
Umerudi Leo umelamba asali😅😅😅
 
PM was real🤣🤣🤣
Hongera sana
 
Karoho kananiuma kweli yan leo nmeamka nina kitu kweny roho hapa sijui Engineer wa umeme tumewafanya nn utumishi dah
Taasisi za serikali zinazotaka watu wa umeme ni ngapi?
Japo pia mwenzetu wewe una nafuu kwani unaweza kujiajiri chap na ukapiga hela...'umeme'.Km wa michanical eng nao wanajiajiri chap.Au siielewi michongo vizuri?
 
Mkuu hongera sana hakika Mwenyezi Mungu hutoa Kwa wakati sahihi kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
 
Jamaaan Pina hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…