Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
Best of luck tunakuombea, usisahau feedback ya maswali yatakavyokuwa mwamba wetu.NAOT tu
Sawa mkuu, AhsanteBest of luck tunakuombea, usisahau feedback ya maswali yatakavyokuwa mwamba wetu.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Sio status ila kila nikiona namna ya kujibu maswali ya oral na nilichokijibu naanza kukumbuka nliyoyajibu mara tano , tanoKwa nn mzee?mjadala wa status nin unakukatisha tamaa?
Mzee wang ninkawaida ukiwa ndani ya chumba na nje hali hua tofaut kbsa lets hope mzeeSio status ila kila nikiona namna ya kujibu maswali ya oral na nilichokijibu naanza kukumbuka nliyoyajibu mara tano , tano
Mi mwenyewe nikifkiria naona hamna nilichojibu mule ndani lkn ivo ivo kidgo najipa matumainiMzee wang ninkawaida ukiwa ndani ya chumba na nje hali hua tofaut kbsa lets hope mzee
Acha tu mwenyewe nashukuru interview yangu ilikua na Presentation hapo nina uhakika nilifanya poa ila haya maswali mengine ni kudra za Mwenyezi Mungu.Sio status ila kila nikiona namna ya kujibu maswali ya oral na nilichokijibu naanza kukumbuka nliyoyajibu mara tano , tano
ππππ Presentation huwa nyepesi Yale mengine ndo jau kichizi yani Ukitoka huelewi ulichojibu ni kweli au vipi afu ukute ulitaka point mbili wakati walitaka tano Yani kichwa kinapata motoAcha tu mwenyewe nashukuru interview yangu ilikua na Presentation hapo nina uhakika nilifanya poa ila haya maswali mengine ni kudra za Mwenyezi Mungu.
Acha tu mzee ukiwaza sana yaliyojiri unaeza kata tamaaππππ Presentation huwa nyepesi Yale mengine ndo jau kichizi yani Ukitoka huelewi ulichojibu ni kweli au vipi afu ukute ulitaka point mbili wakati walitaka tano Yani kichwa kinapata moto
Kila la khery kakaNaingia kikaangoni kesho, muda huu nimefika Msamvu naelekea Dom
Ahsante mkuuKila la khery kaka
Inahitaji uvumilivu sanaAcha tu mzee ukiwaza sana yaliyojiri unaeza kata tamaa
Kuna watu wamekandwa wote aisee IS auditor helsb psrs wana balaaNaona wameshatoa matokea ya vitendo wale wa IT
Ngoma ngumu sana hizi,... Mpaka jina litoke katika pdf, si kazi ndogo.Kuna watu wamekandwa wote aisee IS auditor helsb psrs wana balaa
ππππ Utumishi wana roho ngumu sana aseehKuna watu wamekandwa wote aisee IS auditor helsb psrs wana balaa
na hata baada yakutoka unasubiri tenaNgoma ngumu sana hizi,... Mpaka jina litoke katika pdf, si kazi ndogo.
AiseeπKuna watu wamekandwa wote aisee IS auditor helsb psrs wana balaa
Huku kwenye prac ndio hakuna lelemama kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utumishi wana roho ngumu sana aseeh
Kugumu sana huku imagine mtu written anaongoza prac anakuja chzea za uso antoka na namba za viatuHuku kwenye prac ndio hakuna lelemama kabisa
Wataalam wa Cyber Security hatuna hapa TZ wengi ni kuunga unga tu ni sahihi wawakandee mpk wanyeKuna watu wamekandwa wote aisee IS auditor helsb psrs wana balaa