Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sio status ila kila nikiona namna ya kujibu maswali ya oral na nilichokijibu naanza kukumbuka nliyoyajibu mara tano , tano
Acha tu mwenyewe nashukuru interview yangu ilikua na Presentation hapo nina uhakika nilifanya poa ila haya maswali mengine ni kudra za Mwenyezi Mungu.
 
Acha tu mwenyewe nashukuru interview yangu ilikua na Presentation hapo nina uhakika nilifanya poa ila haya maswali mengine ni kudra za Mwenyezi Mungu.
😂😂😂😂 Presentation huwa nyepesi Yale mengine ndo jau kichizi yani Ukitoka huelewi ulichojibu ni kweli au vipi afu ukute ulitaka point mbili wakati walitaka tano Yani kichwa kinapata moto
 
Back
Top Bottom