Nilikwambia imebaki zamu yako utakuwemo unakumbuka 😁, na huo ukimia wa muda nikajua tayali huyu mtu 😂😂Ndugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇
👆Pinacoladee jiandae, 😁😁
Mambo on fire!
pinacoladee dom sasa hivi anasubiri kesho akanyanyue kombePinacoladee kajikaushaaa
Ila kaka kuna mkeka wangu nausubiri nadhani mwezi huu utatokapinacoladee dom sasa hivi anasubiri kesho akanyanyue kombe
Civil mbona wanawabeba sanapinacoladee dom sasa hivi anasubiri kesho akanyanyue kombe
Nakuombea nawe upateIla kaka kuna mkeka wangu nausubiri nadhani mwezi huu utatoka
Pina yuko gairo muda huupinacoladee dom sasa hivi anasubiri kesho akanyanyue kombe
Amina,tuombeane kiongoziNakuombea nawe upate
tutafanyaje sasa ndugu yangu itabidi niwe mpenzi mtazamaji tuCivil mbona wanawabeba sana
Hongera kakaDaah.
Maisha haya unaweza kuwa kichaa.
Hauwezi kuamini siku unachungulia unalikuta jina lako jamani haya maisha.
I can't imagine this day.
hiyo furaha yake sipati picha.mungu amjalie aisee kaangaika sana maskinPina yuko gairo muda huu
Tumetoka nae muda mrefu na kumbuka ila yule jamaa aliyemwita pm vepeehiyo furaha yake sipati picha.mungu amjalie aisee kaangaika sana maskin
Sijatoboa kaka bafoHongera kaka
Ila wiki ulipata kazi kaka nitafurahi sana mm nimeanza kupambana na ww kuna I'd moja nilikuwa natumia mpaka nikaja na Hii mpya kitambo sanahiyo furaha yake sipati picha.mungu amjalie aisee kaangaika sana maskin
mungu atubariki na sisi aisee tusije tukabaki walinzi wa uziIla wiki ulipata kazi kaka nitafurahi sana mm nimeanza kupambana na ww kuna I'd moja nilikuwa natumia mpaka nikaja na Hii mpya kitambo sana
Ila tusikate tamaa wakuu tutatoboa tu,zamu yetu haiko mbaliSijatoboa kaka bafo
Wala usione tabu kabisa, zamu yako ikifika nitakupa hongera kama wengine ninavyowapa.Wewe kila siku kutoa hongera tu
Hongera sana. Mungu akijalie utumishi mwemaNdugu zangu,Hakika na mimi Mungu kaniona niwaambie tu nimelamba asali,nmepatwa adi na kahoma. Ambao bado hamjapata naamini Mungu anaenda kuwajibu. The struggle is real,usikate tamaa unaweza ukaona hii interview umefail ukajilaumu kumbe Mungu ana mipango yake kuna sehemu kakuandalia,kikubwa Giving up is not an option,Aluta continua💪😇