Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Neema kwa watu wa Automobile, Mechanical na electrical na civil tumuombe Mungu anyoshe mkono soon wachukuliwe! japo kuwa civil kila mara wapo na sijui hawaishi data base😁
 
Mimi saa sijui Nina shida gani?

Nilifanya written 2 sikufika oral.

Mwaka jana mwezi wa 8 nikibahatika kuingia oral moja ya taasisi kubwa nchini nikasema kazi si ndo hii.

Hauwezi amini leo ninavyoongea hivi mwezi wa 12 juzi ndo wameanza kuita watu wa database kazini na hapo oral tulikuwa 150+

Kiukweli baada ya hii situation naona mwaka unaenda kuisha hata nusu hawajafika kutuchukua hali iliyonipelekea kuwa mtu wa mawazo sana.

Wakati nyuma Nina washakaji kama watano waliofanikiwa kuingia oral mwaka 2022 mwaka 2023 wote wako kazini.

Nimekuja nikijiuliza maswali mengi wala sijapata majibu.

Database yetu wameanza kuita baada ya mwezi wa 11 na huko nyuma walikuwa wanaita wa database ya mda lga ambao walikuwa oral 60 tu je sisi 150 + wametukatili sana miezi 11 nafasi zinatoka lakini wao wamekomalia database iliyoanza ya mwezi wa sita ilhali sisi wa mwezi wa nane ndo kuanza kuita mwezi uliopita wizara ya Afya.

Kiukweli utumishi hapa wametukosea.

Nadhani ni muda wa database kukaa miaka 2 sasa.
 
Ni kweli, mimi pia nimekuwa nikiisema mara kwa mara humu.

Hata hivyo ukifika kule, hakikisha kati ya maswali 5, ujitahidi uwe umejibu 3 vizuri.
Kaka mwifa mimi mbona nilijibu vizuri tena yote matano na example juu cha kushangaza sijaitwa hata kazini sasa mnavyosema ikifika oral ndo kazi mm na kuwa siielew hii.

Kada yangu ;AFYA
 
Kama mlikuwa wengi mliofika Oral hapo lazima unaweza kukaa muda mrefu maana kama ni database lazima ifuate foleni kuzingatia marks mlizopata kwenye oral.

Kingine, wewe unaweza kusema umejibu vizuri lakini ikawa tofauti kwani hili jambo huwa lipo ambapo mtu unaweza kuamini kuwa umepatia majibu sahihi kumbe upo op.

Hivyo usiache kufanya sahili hata kama ushafanya nyingi hadi utakapopata nafasi ndipo utaweka silaha chini
 
Mimi saa sijui Nina shida gani?

Nilifanya written 2 sikufika oral.

Mwaka jana mwezi wa 8 nikibahatika kuingia oral moja ya taasisi kubwa nchini nikasema kazi si ndo hii.

Hauwezi amini leo ninavyoongea hivi mwezi wa 12 juzi ndo wameanza kuita watu wa database kazini na hapo oral tulikuwa 150+

Kiukweli baada ya hii situation naona mwaka unaenda kuisha hata nusu hawajafika kutuchukua hali iliyonipelekea kuwa mtu wa mawazo sana.

Wakati nyuma Nina washakaji kama watano waliofanikiwa kuingia oral mwaka 2022 mwaka 2023 wote wako kazini.

Nimekuja nikijiuliza maswali mengi wala sijapata majibu.

Database yetu wameanza kuita baada ya mwezi wa 11 na huko nyuma walikuwa wanaita wa database ya mda lga ambao walikuwa oral 60 tu je sisi 150 + wametukatili sana miezi 11 nafasi zinatoka lakini wao wamekomalia database iliyoanza ya mwezi wa sita ilhali sisi wa mwezi wa nane ndo kuanza kuita mwezi uliopita wizara ya Afya.

Kiukweli utumishi hapa wametukosea.

Nadhani ni muda wa database kukaa miaka 2 sasa.
Hiyo idadi ni kubwa sana lazima foleni ifuatwe kulingana na marks za Oral.

Marks za Oral ni 50+, kama wengi mumepata mathalani 55, wataanza kuzingatia vigezo kama jinsia, umri, ulemavu katika kuwapangia nafasi zikitoka
 
Mimi saa sijui Nina shida gani?

Nilifanya written 2 sikufika oral.

Mwaka jana mwezi wa 8 nikibahatika kuingia oral moja ya taasisi kubwa nchini nikasema kazi si ndo hii.

Hauwezi amini leo ninavyoongea hivi mwezi wa 12 juzi ndo wameanza kuita watu wa database kazini na hapo oral tulikuwa 150+

Kiukweli baada ya hii situation naona mwaka unaenda kuisha hata nusu hawajafika kutuchukua hali iliyonipelekea kuwa mtu wa mawazo sana.

Wakati nyuma Nina washakaji kama watano waliofanikiwa kuingia oral mwaka 2022 mwaka 2023 wote wako kazini.

Nimekuja nikijiuliza maswali mengi wala sijapata majibu.

Database yetu wameanza kuita baada ya mwezi wa 11 na huko nyuma walikuwa wanaita wa database ya mda lga ambao walikuwa oral 60 tu je sisi 150 + wametukatili sana miezi 11 nafasi zinatoka lakini wao wamekomalia database iliyoanza ya mwezi wa sita ilhali sisi wa mwezi wa nane ndo kuanza kuita mwezi uliopita wizara ya Afya.

Kiukweli utumishi hapa wametukosea.

Nadhani ni muda wa database kukaa miaka 2 sasa.
Watu 150+ oral...duh hii idadi kubwa sana
 
Back
Top Bottom