Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sorry, hiv mpk mtu anachukua PCB au HGL hajui anataka kuwa nani?
Anyway, waulize wanapenda nn ndio wasomee hicho maana kumlazimisha mtu kitu cha kusoma atakuja kukulaum bure...soko la ajira ni gum
Usingizi ulikata kwa muda mrefu sana,busy na website ya PSRS km waliniajir nihesabu visitors..cha ajabu siku limetok pdf ndo sku skuona na nlichelewa kuliona na skua na bundle mpk mtu kaja kunipigia simu [emoji1787][emoji1787]
HONGERA mkuu ndo narudisha toroli la miwa hapa rangi tatu, naingia nakuta Elmarabiosh ananijuza. Hongera sana
 
Back
Top Bottom