Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Mwaka umeisha ofu yanguHiyo idadi ni kubwa sana lazima foleni ifuatwe kulingana na marks za Oral.
Marks za Oral ni 50+, kama wengi mumepata mathalani 55, wataanza kuzingatia vigezo kama jinsia, umri, ulemavu katika kuwapangia nafasi zikitoka