Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Pinacoladee ameshapata...naona tumeanza ramli humuMbaga Jr na Pinacoladee mwaka huu watapata. Msinifate PM kujua mchakato utakaotumika kupata
Kada ya Electrical Engineer II ulipiga interview gani zile za MDA za mwezi wa saba mwaka Jana au TRC AU ile ya wakala wa umeme vijijini ( renewable energy)?tutafanyaje sasa ndugu yangu itabidi niwe mpenzi mtazamaji tu
KeshoLeo sijui lipo au ndio shwaa
Nisikufate pm au siyo mkuu 😂Mbaga Jr na Pinacoladee mwaka huu watapata. Msinifate PM kujua mchakato utakaotumika kupata
nilifanya ya mdaKada ya Electrical Engineer II ulipiga interview gani zile za MDA za mwezi wa saba mwaka Jana au TRC AU ile ya wakala wa umeme vijijini ( renewable energy)?
Kuna mtu kapiga ramli na kajitoa mada pm yake jobless washaijaza hukoPinacoladee ameshapata...naona tumeanza ramli humu
Majina yenu halis nishayajua. Kila kitu namaliza hamna haja ya Cv wala chetiNisikufate pm au siyo mkuu 😂
Ni kweli, mimi pia nimekuwa nikiisema mara kwa mara humu.Kuna kauli inasema hakikisha umefika oral, ina maana sana hii uchukue itawasaidia
Kaka mwifa mimi mbona nilijibu vizuri tena yote matano na example juu cha kushangaza sijaitwa hata kazini sasa mnavyosema ikifika oral ndo kazi mm na kuwa siielew hii.Ni kweli, mimi pia nimekuwa nikiisema mara kwa mara humu.
Hata hivyo ukifika kule, hakikisha kati ya maswali 5, ujitahidi uwe umejibu 3 vizuri.
Dah bc nashukuru sana mkuuMajina yenu halis nishayajua. Kila kitu namaliza hamna haja ya Cv wala cheti
Kama mlikuwa wengi mliofika Oral hapo lazima unaweza kukaa muda mrefu maana kama ni database lazima ifuate foleni kuzingatia marks mlizopata kwenye oral.Kaka mwifa mimi mbona nilijibu vizuri tena yote matano na example juu cha kushangaza sijaitwa hata kazini sasa mnavyosema ikifika oral ndo kazi mm na kuwa siielew hii.
Kada yangu ;AFYA
Hiyo idadi ni kubwa sana lazima foleni ifuatwe kulingana na marks za Oral.Mimi saa sijui Nina shida gani?
Nilifanya written 2 sikufika oral.
Mwaka jana mwezi wa 8 nikibahatika kuingia oral moja ya taasisi kubwa nchini nikasema kazi si ndo hii.
Hauwezi amini leo ninavyoongea hivi mwezi wa 12 juzi ndo wameanza kuita watu wa database kazini na hapo oral tulikuwa 150+
Kiukweli baada ya hii situation naona mwaka unaenda kuisha hata nusu hawajafika kutuchukua hali iliyonipelekea kuwa mtu wa mawazo sana.
Wakati nyuma Nina washakaji kama watano waliofanikiwa kuingia oral mwaka 2022 mwaka 2023 wote wako kazini.
Nimekuja nikijiuliza maswali mengi wala sijapata majibu.
Database yetu wameanza kuita baada ya mwezi wa 11 na huko nyuma walikuwa wanaita wa database ya mda lga ambao walikuwa oral 60 tu je sisi 150 + wametukatili sana miezi 11 nafasi zinatoka lakini wao wamekomalia database iliyoanza ya mwezi wa sita ilhali sisi wa mwezi wa nane ndo kuanza kuita mwezi uliopita wizara ya Afya.
Kiukweli utumishi hapa wametukosea.
Nadhani ni muda wa database kukaa miaka 2 sasa.
Watu 150+ oral...duh hii idadi kubwa sanaMimi saa sijui Nina shida gani?

Usimkatishe tamaa jamanWatu 150+ oral...duh hii idadi kubwa sana
Mi nimesema tu idad ni kubwa...itachukua muda mrefu sana kwa pdf hizi za mtu mmoja mmojaUsimkatishe tamaa jaman
Haa ila kada yetu wanasomba kila mkeka utaikutaUsimkatishe tamaa jaman