Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Usingizi ulikata kwa muda mrefu sana,busy na website ya PSRS km waliniajir nihesabu visitors..cha ajabu siku limetok pdf ndo sku skuona na nlichelewa kuliona na skua na bundle mpk mtu kaja kunipigia simu 🤣🤣
Hongera sana ukawe mtumishi mwema
Si vibaya ukaelezea hustle zako hapa
Walao wengine wafarijike😀 umefanya written ngap na oral ngapi then ..........,ushindi 😀
 
Kwq nn uni jibu wewe mkuu, kwan nimekuuliza swali lolote? Niliowatag wenyewe wanajua tumetoka wapi mpaka kufanyiana maharaja wewe kama nani uingilie comment yangu ya maharaja kwa watu wengine?
Usifanye hasira mkuu zamu yako itafika
Mengine mwachie Mungu,huna sababu ya kukejeli au kuweka masihara kwenye mafanikio ya wafu kila mtu kaandikiwa namna atakavyofanikiwa
Relax
 
Ila wanaboa majamaa mapdf ya watendaji ndo ya kuyadisplay kweli hapo maana wakianza yatakuwa yajajaza ubao. Waonekane wameajiri
Hivi huyo IT kwa nini asichukue hizo pdf zote akaziunganisha kwenye pdf moja ,sasa Kila siku harmashauri mpk inakuwa kero ili mradi tu Kila siku waonekane Wanatoa matangazo ya ajira .. sasa mbona kada zingine hawatoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…